Simu zinauzwa...

aghassany

Member
Oct 9, 2011
57
1
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa kufungua tangazo langu. Nina simu zifuatazo...

Blackberry 9780 nyeusi mpya- 570,000/=
Blackberry 9000 nyeupe used kondishen nzuri kabisa kama mpya 300,000/=
HTC HD7 used kondishen nzuri ina 16gb internal memory 470,000/=
Nokia e90 mpya original 470,000/=

Kwa mwenye kuhitaji usisite kuwasiliana nami kwenye 0716 778 778.

Shukran za dhati.

P.S... Samahanini sija upload pictures kwasababu natumia simu lakini simu ambazo ni used ziko kwenye haliz nzuri sana kama mpya na natumai kwamba hizo model sio ngeni.
 
Back
Top Bottom