Super human
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,147
- 752
Ataanzia wap?Mdau ukauzu unaisha wote na mkoba wake anakupa umshikie ili atokee vizuri.
Ataanzia wap?Mdau ukauzu unaisha wote na mkoba wake anakupa umshikie ili atokee vizuri.
Hawa viumbe wajanja sana mkuu yan huwezi kimbia akitaka kitu. Ataanza kukulegezea macho kidogo mara anajichezeshachezesha then anakuambia kwa sauti ya upoleee,kaka naomba unipige picha please. Kabla hujajibu ashakupa simu yake. Hapo utapiga picha njia nzima,hakuna namna.Ataanzia wap?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo avatar yako tusimu yake bando lake matumizi upange wewe jamani haya ni matakataka
Njoo pm tutafunane no tufahamiane[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo avatar yako tu
sometimes ni bora kukaa na simu kuliko mtu.Kwa nini mkuu unatatani tuendelee kuwa hivi??