Kuna mzee mmoja,jirani yetu.Yeye alikuwa akiplay Ringtone muda wowote kwenye mkusanyiko wa watu,Hata hata akiwa peke yake lazima a play tuu.Basi ukiskia ring,tunasema mzee flan huyo anapita.
Kwakweli ukiangalia jinsi teknolojia ya simu ilivyokimbia ndani ya miaka kumi iliyopita utashangaa sana.. Mimi simu yangu ya kwanza kabisa kununua mwaka 2002 ilikua hii hapa..
![]()
Kwakweli ukiangalia jinsi teknolojia ya simu ilivyokimbia ndani ya miaka kumi iliyopita utashangaa sana.. Mimi simu yangu ya kwanza kabisa kununua mwaka 2002 ilikua hii hapa..
![]()
Hahahahahaaaaaa...umenivunja mbavu mkuu.Dah mmenikumbusha mbali sana aisee...nakumbuka hiyo 2002 nimenununa Siemens C 25 nikawa na jamaa yangu naye ana simu tulikuwa tunaambiza nipigie niko na watu ili nioshe