Juma Kimbo Member Joined May 20, 2017 Posts 7 Reaction score 6 May 29, 2017 #1 Naomba msaada kama kunawezekana kubadilisha mfumo wa CDMA kuja 3G kwenye simu zenyewe.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,220 Reaction score 44,194 May 29, 2017 #2 haiwezekani,
N nkese JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 3,066 Reaction score 2,813 May 29, 2017 #3 Sababu zipi za kiufundi? Sent from my Mate7 using JamiiForums mobile app
Juma Kimbo Member Joined May 20, 2017 Posts 7 Reaction score 6 May 29, 2017 Thread starter #4 Hizi simu ina maana ni za kutupa sasa, naomba mawazo mbadala
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,220 Reaction score 44,194 May 29, 2017 #5 Juma Kimbo said: Hizi simu ina maana ni za kutupa sasa, naomba mawazo mbadala Click to expand... kama ina camera pigia picha, au fanya calculator. mi nnazo za sasatel hapa kibao hazina maana. huo ndo ubaya wa cdma.
Juma Kimbo said: Hizi simu ina maana ni za kutupa sasa, naomba mawazo mbadala Click to expand... kama ina camera pigia picha, au fanya calculator. mi nnazo za sasatel hapa kibao hazina maana. huo ndo ubaya wa cdma.
Troll JF Platinum Member Joined Feb 6, 2015 Posts 9,805 Reaction score 14,362 May 30, 2017 #6 Chief-Mkwawa said: kama ina camera pigia picha, au fanya calculator. mi nnazo za sasatel hapa kibao hazina maana. huo ndo ubaya wa cdma. Click to expand... Asante kwa majibu ya busara.
Chief-Mkwawa said: kama ina camera pigia picha, au fanya calculator. mi nnazo za sasatel hapa kibao hazina maana. huo ndo ubaya wa cdma. Click to expand... Asante kwa majibu ya busara.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,420 May 30, 2017 #7 Ngumu kumeza
ndugaseli JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 869 Reaction score 2,405 May 30, 2017 #8 apo akuna namna mkuu ni kutumia 2 hyohyo cdma
white hat JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 3,320 Reaction score 2,489 May 30, 2017 #9 Chief-Mkwawa said: kama ina camera pigia picha, au fanya calculator. mi nnazo za sasatel hapa kibao hazina maana. huo ndo ubaya wa cdma. Click to expand... na WCDMA ndio 3g au?
Chief-Mkwawa said: kama ina camera pigia picha, au fanya calculator. mi nnazo za sasatel hapa kibao hazina maana. huo ndo ubaya wa cdma. Click to expand... na WCDMA ndio 3g au?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,220 Reaction score 44,194 May 30, 2017 #10 white hat said: na WCDMA ndio 3g au? Click to expand... yap wcdma ni 3G upande wa GSM, kwenye cdma 3G yao inaitwa EVDO
white hat said: na WCDMA ndio 3g au? Click to expand... yap wcdma ni 3G upande wa GSM, kwenye cdma 3G yao inaitwa EVDO