Simu za Tigo zitasalimika? Maana nikicheki IMEI naona hola

Uhuru24

JF-Expert Member
May 2, 2015
4,053
4,297
8bfaff71ccb96a63514f2bf311787372.jpg
 
huawei nying tu zipo vizur hata techno nazo fresh,tatizo lipo kweny galaxy copy na experia za laki 2
 
Hivi tunaangaliaje km ni fake?????
Unaminya *#06# itakuletea IMEI namba utazicopy pembeni
Kisha utazituma hizo namba {IMEI} kwenda namba 15090.
Inatakiwa ikuletee model namba na manufacturer sawa na simu yako mfano:- kama simu yako ni huawei y530,na manufacturer ni huawei company ltd, sms itakayotumwa inatakiwa model namba na manufacturer zifanane
 
Asante! Mimi IMEI # ipo kwenye simu kuna sehemu imeandikwa about phone kwenye settings...!
 
Naomba mnichekie na mimi kwang nimeshindwa 351620060785862/01
351621060785860/01
 
Back
Top Bottom