Kwa mm shughuli zangu nipo polini inanipa tabu maana unaiweka 3g inapandisha 2g yenyewe nikahisi simu yaangu ni ndogo nikachukua kubwa lakni kwenye kuchagua bend inakuchagulia yenyewe labda nikiingia mjini ambapo netwk inatulia sehemu moja na haya ili uyaone mpaka uje polini
Uko sawa lakini sina shaka na hilo ndo maana unakuta simu nyingine imepangiliwa kama hivi 2G ONLEkuna maeneo network hamna kabisa,usiilazimishe simu kukuonesha uongo.
hata mitandao ya simu hawawezi kuweka miundombinu kamili porini.
Zipo vizuri.Kila siku watu wanaongelea simu kutoka brand hizi tu mara Samsung, iPhone, Xiaomi. Lakini wanaacha kuziongelea Nokia. Kuna baadhi ya simu za Nokia zinavutia
View attachment 2338502
Ninachopendea kwenye hizi simu ni kwamba hakuna bloatware halafu huwa zinapata regular security updates. Lazima nifanye mpango wa kununua hizi simu.
Kuna baadhi ya simu zao zimenivutia ndio maana naandika hivi, hebu ziangalieni hizi hapa
1. Nokia XR20 Rugged 5G phone
View attachment 2338512
2. Nokia 8.3 5G
View attachment 2338530
3. Nokia G50
View attachment 2338531
4. Nokia 5.3
View attachment 2338532
5. Nokia 5.4
View attachment 2338536
6. Nokia G21
View attachment 2338544
7. Nokia X20
View attachment 2338546
8. Nokia 3.4
View attachment 2338547
9. Nokia G11 plus
View attachment 2338563
10. Nokia G10
View attachment 2338564
Tena hiyo Nokia G10 ya 4GB RAM na 64GB ROM nimeiona inauzwa kwa Tsh 330,000/= tu Kariakoo, halafu ina fingerprint pembeni sio nyuma kama ilivyo kwa simu nyingi za laki 3, naona inamake sense kuliko Xiaomi Redmi 10A 3GB RAM + 64GB ROM ambayo inauzwa kwa bei hiyohiyo.
Naombeni ushauri kwa mtumiaji wa Nokia au mtu aliyewahi kutumia Nokia. Je, hizi simu ni nzuri au mnanishauri nisinunue?
Unamkosea CHIEF MKWAWA ni jamaa mmoja mstaarabu sana. Huwa anatoa ushauri kwa watu kitaalamu bila kupendelea sehemu. Please kuna watu wakisemwa kwa kebehi nakwazika sanaHuyo muulize kuhus ma-xiaomi tu ni dalali kabisa muombe akupe na link ya group lao la Telegram
Download file manager + playstore, ni bure haina matangazo, nyepesi na nzuri kushinda file manager zinazokuja na simu.Natumia G10 hii simu kwenye chaji ipo vizur kwenye Kila kitu ila shida Haina file manager Haina calculator mpaka ufanye update camera ni nzuri kiukweli ni nzuri sana hii sim
Ni simu nzuri Mimi natumia simu zote Nokia 7.1 na 6.2Kila siku watu wanaongelea simu kutoka brand hizi tu mara Samsung, iPhone, Xiaomi. Lakini wanaacha kuziongelea Nokia. Kuna baadhi ya simu za Nokia zinavutia
View attachment 2338502
Ninachopendea kwenye hizi simu ni kwamba hakuna bloatware halafu huwa zinapata regular security updates. Lazima nifanye mpango wa kununua hizi simu.
Kuna baadhi ya simu zao zimenivutia ndio maana naandika hivi, hebu ziangalieni hizi hapa
1. Nokia XR20 Rugged 5G phone
View attachment 2338512
2. Nokia 8.3 5G
View attachment 2338530
3. Nokia G50
View attachment 2338531
4. Nokia 5.3
View attachment 2338532
5. Nokia 5.4
View attachment 2338536
6. Nokia G21
View attachment 2338544
7. Nokia X20
View attachment 2338546
8. Nokia 3.4
View attachment 2338547
9. Nokia G11 plus
View attachment 2338563
10. Nokia G10
View attachment 2338564
Tena hiyo Nokia G10 ya 4GB RAM na 64GB ROM nimeiona inauzwa kwa Tsh 330,000/= tu Kariakoo, halafu ina fingerprint pembeni sio nyuma kama ilivyo kwa simu nyingi za laki 3, naona inamake sense kuliko Xiaomi Redmi 10A 3GB RAM + 64GB ROM ambayo inauzwa kwa bei hiyohiyo.
Naombeni ushauri kwa mtumiaji wa Nokia au mtu aliyewahi kutumia Nokia. Je, hizi simu ni nzuri au mnanishauri nisinunue?
Nimejaribu kuchek naona zipo nyingi mkuu unaeza nisaidia muonekano wakeDownload file manager + playstore, ni bure haina matangazo, nyepesi na nzuri kushinda file manager zinazokuja na simu.
Nimejaribu kuchek naona zipo nyingi mkuu unaeza nisaidia muonekano wake
Me sijui... Niliona hukooo GoogleNokia gani hiyo[emoji848][emoji848] Au unaangalia zile video za YouTube ambazo ni Fanmade?
Haya masimu ni fekinunua hii simu, hutajutia "
I13 Pro Max Android 6.0 5G Smart Phone 6.3inch HD Full Screen Phone, 1+8GB RAM" ina processor nzuri sana ya Deca Core
View attachment 2343549
Toka 2013 natumia smart za Nokia Hadi Sasa kabla nilikuwa natumia vitochi vyaoKila siku watu wanaongelea simu kutoka brand hizi tu mara Samsung, iPhone, Xiaomi. Lakini wanaacha kuziongelea Nokia. Kuna baadhi ya simu za Nokia zinavutia