Simu za Nokia zinanivutia sana

Huyo muulize kuhus ma-xiaomi tu ni dalali kabisa muombe akupe na link ya group lao la Telegram
Una umri gani humu JF? Una umri gani hapa Duniani? Ni vyema kumheshimu Chief-Mkwawa . Sidhani kama hii ni lugha ya kumuelezea mtu nguli kama yeye kwenye mambo ya teknolojia. Zamani sisi tulilelewa vizuri na wazazi wetu,tukapata na Elimu Darasani. Tukaelimika na kustaarabika kuheshimu watu wenye weledi kwenye mambo flani.

Sielewi kizazi hiki imekuaje kwenye malezi na pia kukosa elimu hata ya kawaida tu. Unapaswa ujue kujifunza mambo ya msingi. Kizazi hiki mnajifunza sana ushoga kuliko mambo ya msingi. Umewakosea sana watu wa Jukwaa hili si Chief peke yake.
 
Ninzuri ila wamesikosea kwenye mfumo wa kuchagua bend za netwk maana zina mfumo wa auto huwezi chsgua 3g onle wala wg onle
Ni kweli sijui wamewaza nini,huo mfumo ni ngumu ku control power battery ikiwa low.
 
Huyo muulize kuhus ma-xiaomi tu ni dalali kabisa muombe akupe na link ya group lao la Telegram
Una umri gani humu JF? Una umri gani hapa Duniani? Ni vyema kumheshimu Chief-Mkwawa . Sidhani kama hii ni lugha ya kumuelezea mtu nguli kama yeye kwenye mambo ya teknolojia. Zamani sisi tulilelewa vizuri na wazazi wetu,tukapata na Elimu Darasani. Tukaelimika na kustaarabika kuheshimu watu wenye weledi kwenye mambo flani.

Sielewi kizazi hiki imekuaje kwenye malezi na pia kukosa elimu hata ya kawaida tu. Unapaswa ujue kujifunza mambo ya msingi. Kizazi hiki mnajifunza sana ushoga kuliko mambo ya msingi. Umewakosea sana watu wa Jukwaa hili si Chie
 
Nokia wameishiwa mipango hata ubunifu siku hizi ni ziro, ukiachana na specifications zake hata muonekano wake hauvutii, kama waoinzani wake.
Hizi simu hazitengenezwi na Nokia bali HMD, Nokia alishaacha kutengeneza simu tangia 2013.

Na muonekano ni huo huo simu zote sababu zinatengenezwa na ODM, Ukiangalia Motorola, Nokia za sasa, Xiaomi na wengineo simu zinafanana sababu zinatengenezwa sehemu moja baadae zinapachikwa tu majina.
 
Leo wametoa X31, G60, C31 na Tablet T21.
 
Wewe usinipangie yeye ni nani anachokijua nakijua pia na ndio maana nikamuita dalali wa simu za Xiaomi!

Hajui kila kitu kuhusu Tech na hatojua muheshimu peke yako usinipangie
 
nunua hii simu, hutajutia "

I13 Pro Max Android 6.0 5G Smart Phone 6.3inch HD Full Screen Phone, 1+8GB RAM" ina processor nzuri sana ya Deca Core​

 
Nimetumia 2.1 bado ipo 4.2 , 5.4 ndo current

G10 kuna dogo kanunua 270used
 
Mwaka wa nne natumia Nokia 6.1 na haijawahi kunisumbua. Inakaa na chaji masaa 14, muda wote nipo online. Sijawahi kujutia.
 
Betri vimeo...
Ninayo Nokia G 10 inakaa na chaji siku mbili nafanya kila ya kazi lkn bado simu inakaa chaji vizuri sana...Mimi ni mdau wa Nokia Toka Nokia 1020,Nokia 830,Nokia Nokia 930 na SASA Nokia G 10 yaani Kwa kifupi haunitoi kwenye Nokia najua uzuri wa simu zao na camera zao ingawa sikuhizi technology ya pure View haipo kwenye Nokia za android
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…