Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,268
- 44,399
- Thread starter
-
- #61
symbian haicompete na ios na android maximum specs zake ni ndogo kuliko low end za android. simu yenye specs kubwa zaidi ya symbian ni nokia 808 yenyetuwe wakweli jamani wamgapi wapo tayari kuachana na ios na android ikitokea nokia wamekuja na mambo ya symbian? tukirejelea ilivyokuja windows ktk lumia. Wangapi walienda huko
simu za lumia hardware walitengeneza nokia na hio software walitengeneza microsoftcwez tumia cm nyingne zaid ya window phone hizi lumia, nokia e6 nk nazpenda sana mtu akinipa hz cm nyingne labda nitumie nikiwa ndan ila co in puplic
swal hzi lumia ni nokia walitengeneza au vp hapo celewag
Mkuu! Hata mie NOKIA nawakubali sana, na sitasita kuachana na hizi brand zingine iwapo watakuja na kitu cha uhakikaNikiona Brand Name ya Nokia nafurah sana. Nilisikitika jina la Nokia kupotea kiaina badala yake Lumia kusikika sana.
Kama wanarudi kutengenezea Android phones hiyo ni habari njema nitanunua Nokia. By the way kwanini Chief umehuzunika badala ya kufurahi?
unamaanisha kuwa na button hizi za kubonyeza za namba na kuandikia? windows phone haikua yao na operating system haikuwa ikiruhusu ndio maana hujaziona simu za hivyonashangaa kwann walikosea lumia upande wa button CHIEF MKWAWA
Hii iliishia wap?Microsoft amewauzia Foxconn biashara yake ya simu za Feature phone, Ukumbuke Microsoft alikuwa anatumia jina la Nokia kwenye feature phone tu kwenye smartphone zilikuwa zinaitwa Microsoft Lumia, hivyo kuanzia sasa hivi Microsoft hana tena uhalali wa kutumia jina Nokia. HMD na Foxconn exclusive watatumia jina Nokia bila kushare na mtu yeyote.
Kuhusu hatma ya simu za microsoft tetesi ni kwamba zitaungana na department ya Surface. kama unafatilia mambo haya nafkiri utakua unajua mafanikio ya Tablets za microsoft zinazoitwa surface pro sasa hivi zimeshakuwa billion dollar business na zinaipa joto Apple na Ipad zake. Microsoft kuanzia 2017 watatoa surface phone simu zinazorun software za computer nafkiri wanawasubiria intel wakija na processor za 10nm za canonlake ila ni tetesi tu inaweza isiwe kweli.
Still mpaka leo ni tetesi, kwamba itakuwa ni foldable device. Ila tayari kuna os inaitwa windows on Arm sasa hivi unaweza kurun full windows kwenye processor za simu, na hata hololens mpya iliotoka inatumia snapdragon 850, hivyo muda si mrefu itatoka hii device.
Kiasi chao wanajitahidi nimeona mwaka 2018 wameuza simu milioni 82, ila still bado hawajaniconvice sana, simu zao hazina Nokia soul, ni simu nzuri ila still bado Hazijafikia level ya Nokia mwenyewe.Huu uzi ulizungumzia nokia kutoa simu zao na waliodai hakuna jipya na walipata mapya tujuzane hapa.
Pia nimeona kuna raia kasema apple watawekeza kiasi flan kwa ajiri ya research. Vp ilikuwaje na mabadriko ni yepi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hololens ni device name au ni os name?Still mpaka leo ni tetesi, kwamba itakuwa ni foldable device. Ila tayari kuna os inaitwa windows on Arm sasa hivi unaweza kurun full windows kwenye processor za simu, na hata hololens mpya iliotoka inatumia snapdragon 850, hivyo muda si mrefu itatoka hii device.
Miwani za Augument reality (AR) ambazo nazo zinatumia windows.
Hii inafanyaje kazi mzee?Miwani za Augument reality (AR) ambazo nazo zinatumia windows.
Ni miwani inavaa na kupitia hio miwani unaona vitu mbele yako ambavyo ni virtual, mfano inaweza ikaonyesha tv mbele yako ukaangalia mpira, ama ikaonyesha mtu mbele yako mkaongea ama ikaonyesha design ya gari etc angalia hii video.