Simu za low end, middle end na high end

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
1,865
Reaction score
833
wataalam naomba mnisaidie tunatambuaje simu fulani kuwa ipo kundi lipi.mara nyingi kuna ubishi kuwa kadri simu inavyokuwa na gharama kubwa basi inakuwa ktk group la high end. nawasilisha
 
Duu hapo ni kina chizi fone ndio wajua..
 
wataalam naomba mnisaidie tunatambuaje simu fulani kuwa ipo kundi lipi.mara nyingi kuna ubishi kuwa kadri simu inavyokuwa na gharama kubwa basi inakuwa ktk group la high end. nawasilisha

high price ....high end
low price....low end
medium priced...medium[middle sio end]

na hii si kwa simu tu,bidhaa zote zina apply

kwangu mimi high end phones ni kama iphone 5,samsung galaxy s5[s3/s4 wakati wake zilikuwa high end],blackberry z10,q10,porsche nafikiri hizi nyingi ni kuanzia 700,000-1,500,000m

medium priced phones samsung duo,blackberry bold na nyinginezo za laki mbili,tatu,nne,tano

low end nafikiri ni kuanzia laki 150,000 mpaka 35,000.......
 
Inategemea na specs za simu

Simu inaweza kuwa na specs za hatari leo ila baada ya miezi 6 inaonekana ya kawaida.

Inventions na Discovaries ndo zinafanya simu ionekane high end au low end
 
Itajua kwa specificatio zake japo kwa muda itakua ya kawaida
 
gharama haimaanishi simu kuwa highend au lowend bali specs zake ndio zinafanya iwe hivyo kutokana na soko lipoje na pia specs moja tu haitoshi kuithibitisha simu iwe highend au low end. hivi ni baadhi ya vitu vya kuangalia.

display resolution
wvga 480x800 na kushuka ni low end
hd 720x1280 ni mid range
full hd/Qhd 1080x1920 ni high end

ila ukiangalia zipo simu kama lumia 820 japo ina wvga ila ni mid range.

processor
snapdragon 800/801/ highend
snapdragon 600/400/ mediatek lte version midrange
snaodragon 200 na mediatek zilizobakia low end

ram
2gb/3gb highend
1gb midrange
512mb low end

battery
2500mah+ highend
2000-2500mah midrange
chini ya 2000mah ni low end

simu inaweza kuwa na feature chache za category nyengine hio haiifany iwe category hio
 

shukrani chief nilikusubiri sana.vipi hawa tecno tuwaweke kundi gani kaka
 
chief-mkwawa nikuulize kitu hapo kutokana na maelezo uliyoyatoa..

"Kwahiyo hamna iPhone ambayo ni Highend??"



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
chief-mkwawa nikuulize kitu hapo kutokana na maelezo uliyoyatoa..

"Kwahiyo hamna iPhone ambayo ni Highend??"



Sent from my iPhone using JamiiForums

ndio maana nikasema usibase kwenye kitu fulani sababu iphone nazo zinaweza kuwa na ram na battery ndogo ila zina vitu ambavyo ni vya highend kama vile
1. Processor ya 64 bit ambayo inazipita flagship zote za android
2.responsive ya kioo ni kubwa japo ina kioo kidogo ila unafanya mambo kiurahisi. Mfano kutype kwenye iphone 5s ni rahisi kuliko baadhi ya simu zenye hadi 6 inch
3.premium material, simu ina glass na material ambayo yanapendezesha
4.universal band. Nenda nchi yoyote tumia gsm au cdma iwe ni 850, 1900, 1700, au 2100 iwe 2g, 3g au 4g bas itafanya kaz iphone, tofaut na simu kama tecno yenye band moja tu ya 2100 kwenye 3g.

hivyo ni vichache kaka nafkir unaweza kuona
 
Last edited by a moderator:

Ahsante



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…