Wachangiaji wote mko sawa kabisa, ila wale wanaokandia simu rahisi toka China wafahamu kuwa tofauti na miaka ya 80, dunia ya leo mawasiliano siyo anasa tena. Mwenye uwezo wa kununua simu ya 800,000 na afanye hivyo, mwenye kumudu simu ya 40,000 na afanye hivyo kitu kimoja wote wanapata mawasiliano na ndugu na jamaa zao popote walipo