Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
๐ก Kama unakumbuka Mwaka 2021 ๐๐ iliweza kufanya uamuzi wa wa kuacha Soko la kuuza simu za Smartphone Mnamo mwaka 2021, ambapo wakati huo kwa zile brand za toleo la Korea kusini wakaweza kuendelea kutoa masahisho kwa miaka mitatu mbele.
๐ก Kampuni hiyo Hatimaye inajianda kuzima Seva yao inayotumika kutoa android update mbalimbali kwa simu za Smartphone. ๐๐ญ๐๐ค๐๐ฉ๐จ ๐๐ข๐ค๐ ๐๐ฎ๐ง๐ ๐๐ ๐ฆ๐ฐ๐๐ค๐ ๐ก๐ฎ๐ฎ ๐๐๐๐ ๐๐ฎ๐ญ๐๐ฐ๐๐ณ๐ ๐ค๐ฎ๐ฌ๐๐ง๐ข๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฆ๐๐ฌ๐๐ก๐ข๐ฌ๐ก๐จ ๐ฆ๐๐ฉ๐ฒ๐ ๐ฒ๐ ๐ฆ๐๐ฎ๐ฆ๐จ ๐ฐ๐ ๐ฎ๐๐ง๐๐๐ฌ๐ก๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ง๐๐ซ๐จ๐ข๐.
๐ ๐๐๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐๐ฃ๐ข ๐ก๐๐ฐ๐๐ญ๐๐ฐ๐๐ณ๐ ๐ค๐ฎ๐ฉ๐๐ค๐ฎ๐ ๐๐ฉ๐ฉ ๐ฒ๐จ๐ฒ๐จ๐ญ๐ ๐ณ๐ข๐ฅ๐ ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ณ๐ข๐ข๐ง๐ฌ๐ญ๐๐ฅ๐ฅ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐๐ค๐จ ๐๐๐๐๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐ณ๐ข๐ฆ๐ฐ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐๐๐ฏ๐ ๐ณ๐๐จ. Kupitia tovuti ya LG Electronics inasema itafunga Seva za android mwezi unaofuata.
๐ก Baada ya Tarehe 30 June 2025 mtu Yeyote Hataweza Tena kuidownload na ku install Android update, huduma zote zile za software upgrade service pamoja na service centre upgrade zitazimwa. LG watabaki kwenye uzalishaji wa Vifaa vya kieletroniki kama vile Tv, Saa,, friji nk.