Simu za laini mbili

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
664
176
Habari,ninaomba kuuliza unapotumia laini moja ktk simu(smartphone)ambayo ni ya laini mbili je!kunakuwa na speed ktk mtandao hasa internet.
 
iwe laini moja au zote mbili spidi ya internet inakuwa vilevile...inategemea unatumia mtandao gani...karibu halotel muda wote mnara upo juu utadhan kidume alieamka asubuhi...H plus..
 
Back
Top Bottom