mdeesingano Member Aug 12, 2008 64 19 Apr 12, 2012 #1 Kwanini kwenye simu nyingi za kichina kunakua na web browser ila ukijaribu ku-connect internet inagoma!? Kuna mwenye settings za internet kwenye simu za kichina!?
Kwanini kwenye simu nyingi za kichina kunakua na web browser ila ukijaribu ku-connect internet inagoma!? Kuna mwenye settings za internet kwenye simu za kichina!?
Belight Technology JF-Expert Member Mar 13, 2012 582 122 Apr 12, 2012 #2 taja mtandao then 2kupe IP ADRES, APN na PROXY then ukajaze kwenye seting mambo yatachuchumaa yenyew