Simu za kichina na Huduma za Internet

Simu za kichina na Huduma za Internet

grafani11

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2011
Posts
15,441
Reaction score
5,820
Wana JF, nawezaje kuunganisha simu ya kichina na huduma za Internet zitolewazo na mitandao ya simu (Tigo/Voda/Airtel)? Aina ya Mchina wangu ni GEO.
 
Kwa line ya Voda:
sms WAP NOKIA 6030 to 15300
yaani hapo mchina yoyote ile inakubali
 
Ni pm kama bado hujapata jibu nikupe manual confg

Hata mimi nina hiyo shida. Nimejaribu kufanya kama ulivyo elekeza ila voda hawajatuma wap settings ingawa nimepata msg kuwa nitatumiwa wap settings. Pliz tuambie manual config.
 
Back
Top Bottom