Captain 666
JF-Expert Member
- Nov 5, 2021
- 660
- 1,245
Wangu mshahara wenyewe haujapanda kama walivosema na deni linasoma 420.000Si ulipe tu au nunua simu nyingine
Kwani kutumia mpaka ulipieWangu mshahara wenyewe haujapanda kama walivosema na deni linasoma 420.000
Kwani kutumia mpaka ulipieKuna jamaa walimpanga akakubali kuchukua sim kwakianzio Cha sh 55000. Alipochukua akasomewa bill ikawa inasoma Kama 290000 wakati sim Ina uwezo Kama wa Vodafone tu akaachana nap akapaki. Now anapanga kuiflash Kama itakubali aendelee kuitumia kufidia Ile 55000 yake.
Yaani zile simu ukiwasha inawaka baada ya hapo hakuna application inayofunguka bila kulipa Kam hujamaliza deni. Mpaka kuangalia Salio inagoma, 📷 haifanyi kazi mpaka ulipe, kuangalia licha yaani Kila kitu mpaka nyimbo ni mpaka ulipeKwani kutumia mpaka ulipie
Dah kumbe hizo sio za kununua kwa wapenda slopeYaani zile simu ukiwasha inawaka baada ya hapo hakuna application inayofunguka bila kulipa Kam hujamaliza deni. Mpaka kuangalia Salio inagoma,haifanyi kazi mpaka ulipe, kuangalia licha yaani Kila kitu mpaka nyimbo ni mpaka ulipe
Dah kumbe hizo sio za kununua kwa wapenda slope
Yaan acha mkuu. Halaf yngu ni sumsung kali hatarKuna jamaa walimpanga akakubali kuchukua sim kwakianzio Cha sh 55000. Alipochukua akasomewa bill ikawa inasoma Kama 290000 wakati sim Ina uwezo Kama wa Vodafone tu akaachana nap akapaki. Now anapanga kuiflash Kama itakubali aendelee kuitumia kufidia Ile 55000 yake.
Ndio mkuu unalipa dail had deni liisheKwani kutumia mpaka ulipie
Yaan acha tuHHaziuzwi Kwa cash Huwa wanakopesha Kwa mfumo wa Kama Ile wa mobisol, sunking, Zola n.k yaani unalipa kianzio baada ya hapo unalipa 1200 Kila siku Kwa mwaka. Kwahiyo usipolipa huitumii na wengi huishia njiani Kama mleta mada
Habar wataalamu.
Hivi hakuna namna hizi simu deni likikushinda ukafanya namna fulani uwapotezee uendelee kuitumia maana naona kama wananichanganya hivi
Na nunua izo simu za mkopo 0785556576Yaan acha mkuu. Halaf yngu ni sumsung kali hatar
Now napatikana kwa 0628035302 nichek kwa izo namba nirudishe gharana zakoNa nunua izo simu za mkopo 0785556576
Usije kuwa upo kwenye kitengo cha wakopeshaji Unataka kuwakamata wanaokimbia deniNa nunua izo simu za mkopo 0785556576
Anicheki mimi nimdolee kwa 60k tuTafuta fundi mweny unlock tool utatoa hizo MDM lock
Me na nunua tu izo mambo ya kitengo siyajui nipo kariakoo msimbaziUsije kuwa upo kwenye kitengo cha wakopeshaji Unataka kuwakamata wanaokimbia deni