pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,381
- 4,768
| PLATFORM | |
|---|---|
| OS | Android 9.0 (Pie) |
| Chipset | Mediatek MT6762 Helio P22 (12 nm) |
| CPU | Octa-core 2.0 GHz Cortex-A53 |
| GPU | PowerVR GE8320 |
| DISPLAY | |
|---|---|
| Type | PLS TFT capacitive touchscreen, 16M colors |
| Size | 5.83 inches, 83.4 cm2 (~81.4% screen-to-body ratio) |
| Resolution | 720 x 1560 pixels, 19.5:9 ratio (~295 ppi density) |
Hii simu sio jamii ya tecno hakuna A series inayotumia ujinga wa mediatek
Acha kulisha watu matango pori
Kuna A10 na A10s Ni simu mbili tofauti.Ndio kwanza naona kwako wewe hiyo Samsung A10s ya Mediatek...nijuavyo mimi Samsung A10 ni chipset ya "Exynos 7884 (14 nm)". Tabia mbaya sana ya kuongopa!
Ni A10s na A10eNdio kwanza naona kwako wewe hiyo Samsung A10s ya Mediatek...nijuavyo mimi Samsung A10 ni chipset ya "Exynos 7884 (14 nm)". Tabia mbaya sana ya kuongopa!
Na Bei, simu ya Tecno yenye p22 Ni camon 11 pro inayouzwa zaidi ya laki 4.Ni A10s na A10e
Makampuni mengi sasa yanatumia mediate
e.g. nokia, vivo,oppo,huawei, HTC nk kwa baadhi ya models
Samsung nao wamejiunga. Kinachotofautisha na tecno hapo ni jina tu
Hata infinix S4 inatumia helio p22 na ipo vizuri xna kwa kutunza chaji.Na Bei, simu ya Tecno yenye p22 Ni camon 11 pro inayouzwa zaidi ya laki 4.
Ndio mkuu, jinsi nanometer za transistor zinavyokuwa ndogo ndio jinsi processor inavyokula umeme kidogo.Hata infinix S4 inatumia helio p22 na ipo vizuri xna kwa kutunza chaji.
Sikujua hilo. ThanksNdio mkuu, jinsi nanometer za transistor zinavyokuwa ndogo ndio jinsi processor inavyokula umeme kidogo.
Iyo ni kwa African peopleSikujua hilo. Thanks
Samsung wameamua kupambana na makampuni ya kichina kutengeneza simu za bei rahisi
"
For now, Samsung will rely on contract manufacturers only for some of its entry-level devices as it aims to expand its presence in India and China where the budget segment competition is quite fierce.
Source | Via"
Kampuni ya Jiaxing Yongrui Electron Technology imepewa kazi.
tulishalizungumzia hili mkuu, kuna mwengine anaitwa wingtech anaetengeneza xiaomi amepewa device za kutosha na yeye, ndio maana hizi simu zina bugs za kutosha. ila kwenye bei watakimbiza sana maana vitu vingi samsung anavyo homemade kama battery, ram, display, processor etc hivyo ata subsidize na kuwapa wachina wamtengenezee.Sikujua hilo. Thanks
Samsung wameamua kupambana na makampuni ya kichina kutengeneza simu za bei rahisi
"
For now, Samsung will rely on contract manufacturers only for some of its entry-level devices as it aims to expand its presence in India and China where the budget segment competition is quite fierce.
Source | Via"
Kampuni ya Jiaxing Yongrui Electron Technology imepewa kazi.
ni kwa wote mkuu, mtu akinunua A10 haijalishi yupo eneo gani mtengenezaji ni mchina na akinunua s10 haijalishi yupo wapi mtengenezaji ni samsung mwenyewe.Iyo ni kwa African people
Wanauza iyo Samsung A10 ulaya au USA.ni kwa wote mkuu, mtu akinunua A10 haijalishi yupo eneo gani mtengenezaji ni mchina na akinunua s10 haijalishi yupo wapi mtengenezaji ni samsung mwenyewe.
Na Bei, simu ya Tecno yenye p22 Ni camon 11 pro inayouzwa zaidi ya laki 4.
Ni equivalent ya s7 sio mbaya kwa hio Bei, haikai Sana na chaji Ila battery lake linatoka. Vitu vingine Kama camera na display Ni top quality.MKUU KUNA HII UNAIONAJE? ni refurbished lakini70.31US $ 21% OFF|Refurbished Original Lg G5 Unlocked Cell Phone 5.3" H820 H850 4gb Ram 32gb Rom Fingerprint 4g-lte (no Hebrew Langage - Mobile Phones - AliExpress
Smarter Shopping, Better Living! Aliexpress.comwww.aliexpress.com
Ndio mkuu zinauzwa, A10 Ni version ya Dunia nzima, M series ndio zipo baadhi ya nchi Kama India.Wanauza iyo Samsung A10 ulaya au USA.
SAMSUNG HAWAJAWAHI NA HAITALUJA KUTOKEA KUTUMIA MEDIATEK ACHA UONGO