Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Kivipi mkuu? Yaani kwenye haya matoleo mapya ya simu hatuwezi kupata zenye kamera bora ya kisasa kweli!!!?Mpya hupati labda used
Kwahiyo Bei hapana LABDA uchukue mtumba ongeza 450 uchukue pixel ,4xl zinakuwa used phone zimenyooka sana YaanKivipi mkuu? Yaani kwenye haya matoleo mapya ya simu hatuwezi kupata zenye kamera bora ya kisasa kweli!!!?
Kwahiyo Bei hapana LABDA uchukue mtumba ongeza 450 uchukue pixel ,4xl zinakuwa used phone zimenyooka sana YaanKivipi mkuu? Yaani kwenye haya matoleo mapya ya simu hatuwezi kupata zenye kamera bora ya kisasa kweli!!!?
Model ipi? Na gharama yake ni kiasi kipi?Google pixel mkuu
Google Pixel 4a Tshs 380000/=Model ipi? Na gharama yake ni kiasi kipi?
Weka picha yeyote uliyopiga na hio pixel tuone manjonjo yakeSimu inayosimama hapa si nyingine ni pixel peke yake.
Nimechukua 4a juzi kwa 300k sijutii hata kidogoinagwa ni used.
Tafuta google pixel au SAMSUNG used. Pixel zina shida ya mtandao ku activate Google ila unaweza tumia wife kama una simu nyingine. Ila kamera na audio yake opo juu ya Samsang.Uzi tayari,
Ambao katika pita pita zenu mmekutana na simu zenye camera kali kwa ajili ya photo shooting & video recording njooni tufanye kushare idea
Hakikisheni bei ya simu hizo ni chini ya 400k ili kila mtanzania anayepita hapa apate haki stahiki bila matabaka
Camera ziwe na Pixels za kumwaga plus majonjo katika utendaji wake wa kazi
Uzi tayari...
Hujakutana na changamoto ya ku activate line ya simu na ku activate Google search engine ? Mie nimerudisha moja na kupewa nyingine nayo ina shida ya google connection. Yaani wife tu ndio inafanya kaziSimu inayosimama hapa si nyingine ni pixel peke yake.
Nimechukua 4a juzi kwa 300k sijutii hata kidogoinagwa ni used.
Tena?Hujakutana na changamoto ya ku activate line ya simu na ku activate Google browser ? Mie nimerudisha moja na kupewa nyingine nayo ina shida ya google connection. Yaani wife tu ndio inafanya kazi
😁 kwani wamiliki simu ya aina gani ili tujue kama 4a itakufaa au tukupandishe zaidiNimejifunza....wa kujitolea bas aninunulie hiyo pixel 4a nitambe mjini mie🤒
Ina maana siku hizi Mteja wa Vodacom anaweza kuhudumiwa na Tigo?Nimejifunza....wa kujitolea bas aninunulie hiyo pixel 4a nitambe mjini mie🤒
KISHKWAMBI CHA SAMIA😔😁 kwani wamiliki simu ya aina gani ili tujue kama 4a itakufaa au tukupandishe zaidi
tembelea kkoo kesho uniambie ume ipenda ipiKISHKWAMBI CHA SAMIA😔
Sawa Mkuutembelea kkoo kesho uniambie ume ipenda ipi