Natumia iphone 4s kama yako,glass protector ni muhimu sana kwasababu kuna muda unajisahau unachanganya na funguo, hela( silva) n.k
Pia inategemea na kazi unazofanya kama unainteract na vumbi mara kwa mara kioo huwa kinapata vumbi then ukianza kutouch kinakwaluzika.