Simu yenye Camera Bora tafadhali

Sijui niseme nini zaidi ya kushukuru sana. Asante ndugu kwa upembuzi wa kina.
 
ebu zitaje izo current phones zinazo shindwa kwa iphone 7
 
Kama ni biashara ya instagram ni iphone kuanzia 12 tu nimejaribu kutumia samsung s22 ila bado iphone zina uwezo mkubwa wa kutoa picha halisi na kudhibiti mwanga.Na hiyo ndio silaha kubwa ya instagram algorithm.

s22 gani hii umetumia mpaka uweke mbele iphone 12
.
 
Iphone 14 pro max kwa budget kubwa kwa budget ya kawaida pixel 7 pro iphon 13 pro series na 12 pro series zinabonda picha sana
 
Iphone 14 pro max kwa budget kubwa kwa budget ya kawaida pixel 7 pro iphon 13 pro series na 12 pro series zinabonda picha sana
Kuna jamaa kaja na Sony inatoa picha balaa lakini kakaa nayo mwezi tu naona picha zishaanza kuwa na ukungu tayari

Iphone kashinda sana katika hili unakaa na simu bado ubora ule ule
Ndio maana hata iphone 7 kuna species nyingi inawazidi sana
 
Hapa duniani simu ni iPhone mengine ni matoleo ya smu , wapenda Samsung huwa wanajitutumua Ila ukweli moyoni wanaujua
 
Chagua mwenywe kati ya pixel 7 au one plus 10 pro
 
Katika hii Dunia bingwa wa Picha Kwa upande simu ni mmoja Google pixel wadau wa iphone wenyewe na Samsung wanalijua hili
Google Pixel anasifika kwa kamera nzuri kwa bei rahisi
Lakini Samsung Galaxy S23 Ultra ina kamera nzuri kushinda Google Pixel 7 Pro, Plus ina 10× optical zoom, Super Moonshot na mambo mengine kibao
Sehemu ambayo Google Pixel amemzidi Samsung ni namna Artificial intelligence inavyotambua rangi za binadamu wa race mbalimbali, na ku apply filter ambayo inafaa kwa race hiyo pia katika Pixel fashion.
Overall camera system Samsung Galaxy S23 Ultra ipo vizuri kushinda Pixel 7 Pro
Bila kusahau simu za Samsung pia ni complete package, huwezi kuifananisha na Pixel
 
Hapa duniani simu ni iPhone mengine ni matoleo ya smu , wapenda Samsung huwa wanajitutumua Ila ukweli moyoni wanaujua
Samsung Galaxy S23 Ultra ni simu nzuri kushinda iPhone 14 Pro Max, tena imeiacha parefu sana
Kilichobaki ni kuangalia taste yako iko wapi.
Kwanza kuna sababu nyingi za msingi kukushawishi kununua Samsung kuliko iPhone, unless taste yako iwe kwa iOS
 
Kuna jamaa kaja na Sony inatoa picha balaa lakini kakaa nayo mwezi tu naona picha zishaanza kuwa na ukungu tayari

Iphone kashinda sana katika hili unakaa na simu bado ubora ule ule
Ndio maana hata iphone 7 kuna species nyingi inawazidi sana
Hiyo Sony haikuwa refurbished?
Habari za simu za Android kupungua ubora wa picha baada ya muda mfupi ndio nazisikia kwako
 
Boss naomba ushauri nichukue pixel gan ambayo selfie yake ni kali yani kaaaliii haswa

Uwezo wangu mwsho 6 huko kwenye 7 na 7pro siziwez
 
Boss naomba ushauri nichukue pixel gan ambayo selfie yake ni kali yani kaaaliii haswa

Uwezo wangu mwsho 6 huko kwenye 7 na 7pro siziwez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…