Simu yangu sielewielewi

Simu yangu sielewielewi

cathode

Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
78
Reaction score
54
Habari zenu wakuu.Kama kichwa kinavyojieleza Nina simu yangu aina ya freetel prior4 tangu ninunue haijamaliza mwaka na warrant yake ninayo tatizo nikiplay video kwa muda mrefu inaanza kuleta mistari kwenye display msaada nifanye nin wakuu?
 
Irudshe uchukue nyingine mkuu
 
Since warrant bado, its better ubadilishe
 
Back
Top Bottom