Simu yangu samsung haikubali kusoma network

Madagiz

Senior Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
185
Reaction score
56
Habari wana jamvi,nina simu yangu Samsung GT-N7100 ilikuwa inapiga kazi vizuri,ila toka jana inasumbua kwenye network,ukiiwasha minara inapanda vizuri na ukiweka data on,inapga kazi kwenye internet,kama whatsap unaweza kuchati na kufanya mambo yote ya kimtandao bila tatizo. Ila shida haipokei simu wala msg za kawaida,na ukitaka kupiga simu au kutuma txt bado hazitoki.Mfano ukitaka labda kupiga au kucheki salio inaandika not registered on network.
Naombeni msaada tatizo ni nn wana It.
cc:chief-mkwawa
 
Dumbukiza kwenye Chupa ya Chai alafu uitoe kisha washa utaona inasoma Network vizuri!
 
Soma vizuri mkuu Samsung au Singmsung....maana hawa jamaa watata balaa. Pole hata hivyo ngoja waje wakuu.
 
Dumbukiza kwenye Chupa ya Chai alafu uitoe kisha washa utaona inasoma Network vizuri!
Kama huna cha maana cha kuchangia ni bora kuwa kimya mkuu,hakuna ulazima wa kuandika kama ulivyo andika
 
Habari wana jamvi,nina simu yangu Samsung GT-N7100 ilikuwa inapiga kazi vizuri,ila toka jana inasumbua kwenye network,ukiiwasha minara inapanda vizuri na ukiweka data on,inapga kazi kwenye internet,kama whatsap unaweza kuchati na kufanya mambo yote ya kimtandao bila tatizo. Ila shida haipokei simu wala msg za kawaida,na ukitaka kupiga simu au kutuma txt bado hazitoki.Mfano ukitaka labda kupiga au kucheki salio inaandika not registered on network.
Naombeni msaada tatizo ni nn wana It.
cc:chief-mkwawa
HIYO SIMU YAKO INATENGENEZEKA KIRAHISI SANA COZ HAIHITAJI CERT FILES CHA KWANZA TUMA IMEI ZA SIMU HIYO KWAKUTUMIA SIMU NYINGINE KWENDA 15090 UTAPATA JIBU ZURI
 
Back
Top Bottom