hqssqn ammizy
Member
- Apr 14, 2017
- 17
- 9
- Thread starter
-
- #21
Natumiaga kwa cku nzima bila kufungua data nikifungua masaa5 hvhapo kuna mtatizo mawili la kwanza linaweza kuwa charger yako current ni ndogo la pili linawza likawa betri swali je ikijaa hiyo simu unatumia kwa muda gani
View attachment 495787
check hiyo input current, kama ipo chini ya hiyo tafuta charger nyingine
kwenye info za hiyo charger cheki input cureent iwe 200mA au 0.2Anatumia hiyo
Tatizo ni charger....natumia hiyo
Input current ipo 150mAkwenye info za hiyo charger cheki input cureent iwe 200mA au 0.2A
KwannTatizo ni charger....
Tecno w3Unatumia simu aina gani?
Nunua charger nyingine tatizo hapo ni chargerNatumiaga kwa cku nzima bila kufungua data nikifungua masaa5 hv
The problems may not be on USB or battery , try these . Do a little DIY repair on your hardware. The USB port might have some lints, candy and dust that prevents direct contact of charger to the USB port and hence making it slow at charging or it won't charge permanently... Zima simu then take a small pin or stick chokonoa kwenye USB port ten times na unapuliza huku unatest kwenye charge.Jaman mbona mm cm yangu inachukua muda mwingi kujaa chaj kama maa8 nifanyeje ijae haraka
Kuna app ya namna hiyo kwa window phone, Kama ipo jina lake pleasemkuu ingia playstore download app inaitwa ampere halafu chaji simu huku hio app umeifungua itakuambia ni kiasi gani cha umeme kinaingia.
kwa smartphone ya kisasa inabidi angalau 1000ma (1A) ndio inatosheleza kucharge upesi upesi.
Mkuu nimedowload hiyo application, na naona hizo namba zinaongezeka kutoka 100+ hadi zimefika 450 ila bado nadhani zilikuwa zinapanda, je kama namba zinabadilika kupanda na kushuka maana yake nini? Je lazima ifike 1000?mkuu ingia playstore download app inaitwa ampere halafu chaji simu huku hio app umeifungua itakuambia ni kiasi gani cha umeme kinaingia.
kwa smartphone ya kisasa inabidi angalau 1000ma (1A) ndio inatosheleza kucharge upesi upesi.
Mkuu tatizo lako ni charger tu apo njoo kariakoo kesho nikuuzie fast charger za Samsung nusu SAA tu simu yako imejaa kabisa ni 10000/- za kitanzania kwa charger mojaJaman mbona mm cm yangu inachukua muda mwingi kujaa chaj kama maa8 nifanyeje ijae haraka