Simu yangu inajizima

Simu yangu inajizima

buffalo44

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2016
Posts
5,129
Reaction score
13,110
salaam wakuu
Nina sm ya tecno y3
imeanza tatizo la kujizimazima yenyewe kwa muda fulan na kuiwasha haiwaki had itolewe betr na kurudishwa ndo iwake.hebu nisaidie hili tatizo✌
 
Back
Top Bottom