goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,052
- 1,343
Nenda kwenye security uruhusu appliction kutoka another places
Je unatumia njia gan kudownload hizo apps? Unatumia google kudownload apk au unatumia play store?Habari wanajukwaa, narudi tena kwa mara nyingine kuomba msaada kwenu experts wa haya mambo.
Simu yangu aina ya Huawei Y520 inagoma kabisa kuinstall baadhi ya application kama opera na wakati huohuo application nyingine zinakubali. Nikiangalia space ipo ya kutosha tu.
Sasa sijui tatizo ni nini hapa maana mpaka nimefanya hard reset lakin tatizo haliishi. Kudownload inakubali, ikifika kwenye installation inaandka tu app not installed bila hata kusuggest tatizo ni nini.
Ushauri wenu tafadhari
Je unatumia njia gan kudownload hizo apps? Unatumia google kudownload apk au unatumia play store?
Hebu jaribu ku clear caches na data za play store mkuu afu ujarbu kudownload upya, ikifail hii njia ingia hapa kupakua app yoyote bure unayoitaka wewe >>>Download APK free online downloader | APKPure.com au unaweza kuipakua application ya APKPURE hii inafanya kazi kama play store tu na ina apps zote hata zile znazouzwa play store pakua hiyo app hapa>>Download APKPure 1.5.2 APK | APKPure.comNatumia play store mkuu
Hebu jaribu ku clear caches na data za play store mkuu afu ujarbu kudownload upya, ikifail hii njia ingia hapa kupakua app yoyote bure unayoitaka wewe >>>Download APK free online downloader | APKPure.com au unaweza kuipakua application ya APKPURE hii inafanya kazi kama play store tu na ina apps zote hata zile znazouzwa play store pakua hiyo app hapa>>Download APKPure 1.5.2 APK | APKPure.com
OkShukran mkuu ngoja nijaribu
Km kuna memory card jaribu kui format ama tumia memory card nyingine nilisha wahi pata changamoto km hiyo nika format memory card ikawa safiHabari wanajukwaa, narudi tena kwa mara nyingine kuomba msaada kwenu experts wa haya mambo.
Simu yangu aina ya Huawei Y520 inagoma kabisa kuinstall baadhi ya application kama opera na wakati huohuo application nyingine zinakubali. Nikiangalia space ipo ya kutosha tu.
Sasa sijui tatizo ni nini hapa maana mpaka nimefanya hard reset lakin tatizo haliishi. Kudownload inakubali, ikifika kwenye installation inaandka tu app not installed bila hata kusuggest tatizo ni nini.
Ushauri wenu tafadhari
Asante kwa ushauri wako. Ngoja nijaribuKm kuna memory card jaribu kui format ama tumia memory card nyingine nilisha wahi pata changamoto km hiyo nika format memory card ikawa safi
Km kuna memory card jaribu kui format ama tumia memory card nyingine nilisha wahi pata changamoto km hiyo nika format memory card ikawa safi