simu yangu inaandika "define default access point

simu yangu inaandika "define default access point

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
habar wakuu,natumia simu ya Nokia N73,inafanya kazi vzuri,lakini ninapotaka kutazama video you tube inaandika "define default access point first" mwenye ujuz tafadhali naomba anisaidie.natangulza shukran.
 
Inawezekana real player inasababisha hicho kitu

NBenda applications - real player - settings - connection..

kwenye 'connection',angalia access point isiwe set to 'none'

Chagua access point nyingine. Ukifanikiwa gharama yake na mimi unipe N73 moja(kama unazo kibao).
 
Back
Top Bottom