M Mass63 Member Joined Dec 31, 2016 Posts 34 Reaction score 40 Apr 29, 2017 #1 Simu yangu ni Tecno Phantom6 Niliinunua October mwaka, ila kwa bahati mbaya leo nimeigonga kioo kwa funguo iliyokuwepo kwenye mfuko wa suruali na imefanya crack kwenye kioo. Naombeni ushauri nifanyeje kwa wenye uzoefu kama inatengezeka.
Simu yangu ni Tecno Phantom6 Niliinunua October mwaka, ila kwa bahati mbaya leo nimeigonga kioo kwa funguo iliyokuwepo kwenye mfuko wa suruali na imefanya crack kwenye kioo. Naombeni ushauri nifanyeje kwa wenye uzoefu kama inatengezeka.