Simu yangu haiwezi ku download app mpya

Simu yangu haiwezi ku download app mpya

Seth seth

Senior Member
Joined
Jan 2, 2022
Posts
115
Reaction score
156
Wakuuu salaam. Simu yangu ni infinix hot 8. Ina mwaka mmoja tu tangu niinunue. Hapo kabla ilikuwa iko vizuri tu Ila Cha ajabu ilianza kugoma ku connect Bluetooth . Mwanzoni nilikuwa nacheza nyimbo kwenye kile kiberiti Cha gari kinachotumia Bluetooth yaani nyimbo inakuwa kwenye simu alafu nikiwasha Bluetooth inahamia kwenye gari ko mziki unasikika kwenye spika za gari.baadae Bluetooth ikaanza kugoma Hadi sahiv nikiwasha haionesh kwenye screen ya simu kuwa iko on ko siwezi tena kuplay wimbo kwenye simu unasikika kwenye spika za gari.
Pili simu yangu sahv haiwezi ku download app mpya. Kwa mfano nikienda kwenye play store nkataka ku download app yoyote network unakaa inazunguka tu bila response yoyote. Ila kwenye masuala mengine iko vizuri tu hata mafaili mbalimbali yanafunguka tu. Nimejaribu kufuta baadhi ya vitu ili kupata nafasi ya kutosha Bado tatizo limeendelea. Naombeni ushauri wenu wa kitaalamu plz kabla sijaipekeka kwa fundi maana huko wanaweza kuichokonoa hali ikawa mbaya zaidi
 
Jaribu kuingia na e mail nyingine play store uone kma itakubali
 
NUNUA SIMU NYINGINE HAMNA KAZI HAPO

Halafu achana na itel, tecno na infinix zinasumbua sana

nunua simu yenye RAM NA ROM KUBWA itakusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom