simu yangu haipokei sms,help pls!

simu yangu haipokei sms,help pls!

Bokohalamu

Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
94
Reaction score
8
natumia simu aina ya sony ericsson C902,imegoma gafla kupokea sms ila nikituma inaenda nina kama mwez na hili tatizo,nimefanya master reset bt where!mwenye kujua jins ya kutatua,maana mtu akituma inamuonyesha kua delivered ila kwangu hamna kitu.
 
Angalia preferred storage huenda msg zimejaa!
 
I would recommend calling your network provider, or if you can visit them in person and explain the situation.
 
angalia msg center number iwe +25575114
 
Angalia preferred storage huenda msg zimejaa!

hakuna uhusiano mkuu,msg zikijaa bado simu itakua n uwezo wa kutuma sms,ila kwenye kupokea ndio utaona inakupa alert kwamba sms ipo hewani inabidi uongeze memory ili iingie.
 
1. Kama unahisi tatizo ni simu unayotumia,jaribu kutumia simu nyingine ya ndugu au rafiki yako kupokea sms.
2. Kama namba 1 itashindikana nenda kwa ofisi za mtandao wa simu wa line yako husika. Kunaweza kuwa kuna shida ktk configuration ya account yako katika either SMC au MSC.
 
nahis tatzo itakua ni sim kwan nikiweka line hii ya voda kwenye sim nyngne inakubal kupokea sms,sasa hata sielew kwa mafund hili lisijui linatatuliwaje!kuna mkuu alisema nichek center number bt iko poa,nimewapigia voda wakaniambia line yako tunaisoma vzur tu check na simu yako.Sijui nifanyaje!
 
Jaribu kubonyeza ##002#ok huenda ikawa ni SMS/data divergence
 
pga #35*0000*16# then press button ya kupgia. Ikikubari leta feedback
 
hakuna uhusiano mkuu,msg zikijaa bado simu itakua n uwezo wa kutuma sms,ila kwenye kupokea ndio utaona inakupa alert kwamba sms ipo hewani inabidi uongeze memory ili iingie.

hivyo ndivyo nilivyokuwa nimemuelewa! Ila ahsante kwa maelekezo, pamoja sana mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom