Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,134
- 664
Pole!, ama ulichaji na kobe au charger isiyo yake hivyo umeikaanga betri ya simu yako!. Dawa ni kununua battery nyingine! Mchina 5,000 au original 20,000!.
Unataka ikae na chaji siku ngapi arif?
Natumia Nokia N72,tatizo ni kwamba hii simu haikai na charge,ni siku moja tu inaisha,na betri na orijino kabisa. Matumizi yangu makubwa ni INTERNET,ambapo naperuzi mitandao ya kijamii kama facebook na JF,na mara chache nadownload nyimbo na pdf files mbalimbali.Nimewahi kujaribu hata kuacha kutumia internet lakini tatzo ni lilelile,mwenye kujua tatizo anisaidie,kama ni simu au la!
Angalia application za simu yako, lazima kwenye sehemu iliyoandikwa displays inakula charge nyingi, switch off some applications zisizo na umuhimu itasaidia kuongeza muda wa kukaa na charge, pia angalia sehemu nyingine kwenye settings utakuta muda wa kuzima displays inachukua muda mrefu kabla haijajizima, nayo rekebisha unaweza kuweka sekunde 15 hivi!! Hizo ni steps za mwanzo nilizokupa, unaweza kuendelea kupata zaidi kwa wadau wengine.
Hiyo battrey yako ni nzima, na inakaa charge sana.matumizi ya INTERNET yanakamua betry ile mbaya! ukitaka kuhakikisha acha kutumia NET halafu uone itakaa siku ngapi? me naona wala usihangaike.Natumia Nokia N72,tatizo ni kwamba hii simu haikai na charge,ni siku moja tu inaisha,na betri na orijino kabisa. Matumizi yangu makubwa ni INTERNET,ambapo naperuzi mitandao ya kijamii kama facebook na JF,na mara chache nadownload nyimbo na pdf files mbalimbali.Nimewahi kujaribu hata kuacha kutumia internet lakini tatzo ni lilelile,mwenye kujua tatizo anisaidie,kama ni simu au la!
Hiyo battrey yako ni nzima, na inakaa charge sana.matumizi ya INTERNET yanakamua betry ile mbaya! ukitaka kuhakikisha acha kutumia NET halafu uone itakaa siku ngapi? me naona wala usihangaike.
Hiyo battrey yako ni nzima, na inakaa charge sana.matumizi ya INTERNET yanakamua betry ile mbaya! ukitaka kuhakikisha acha kutumia NET halafu uone itakaa siku ngapi? me naona wala usihangaike.