Simu yako ya kwanza iko wapi katika hizi??

sioni siemens A50.
nakumbuka ilikuwa 2004, nilidangnya home tutakwenda tour serenget national park, hivo inahitajika kulipia usafiri, niakepwa nikanunua sim hiyo tsh 75000. full kushobokewa na madem. life was so good by then
 
safari ya serengeti ulienda sasa baada ya kununua simu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…