Simu ya tecno yenye ubora

Simu ya tecno yenye ubora

GIPAMA

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
1,103
Reaction score
543
Wakuu, heshima kwenu, mimi napenda sana simu toka kampuni ya tecno, mpaka sasa hii natumia tecno, nahtaji ninunue tena tecno,

Je ni tecno gan yenye ubora na ya bei ya chini kama laki mbili hivi??

Msaada tafadhali.
 
Kanunue Spark k7 mpya 220,000/= mpaka 210,000/=
 
Njoo PM nikuuzie L9plus,used kidogo ila bado mpya,inakaa na chaji(5000mAh),camera-13mp,ram-2gb, internal-16gb,fingerprint-yes,android-nougat
 
L8 battery 5050mAh lollipop 5.1,1gbram × 4 count, 8megapixel, 16gb internal storage
 
Njoo PM nikuuzie L9plus,used kidogo ila bado mpya,inakaa na chaji(5000mAh),camera-13mp,ram-2gb, internal-16gb,fingerprint-yes,android-nougat
Bei gan mkuu na upo wap?
 
Wakuu, na unaponunua simu, vitu vya mhimu kuichunguza kabla hujalipia ni kama vip?

Yaan vya mhimu katika simu hiyo.
 
Wakuu, heshima kwenu, mimi napenda sana simu toka kampuni ya tecno, mpaka sasa hii natumia tecno, nahtaji ninunue tena tecno,

Je ni tecno gan yenye ubora na ya bei ya chini kama laki mbili hivi??

Msaada tafadhali.
nunu tecno zote lakini epuka matoleo haya...W3,W5, k series...kwa cmu bora kwa tecno ni tecno c9. ucdanganyika na mvuto wa nje ila nyingi hazina ubora wa kudumu, huzima ghafla.
 
nunu tecno zote lakini epuka matoleo haya...W3,W5, k series...kwa cmu bora kwa tecno ni tecno c9. ucdanganyika na mvuto wa nje ila nyingi hazina ubora wa kudumu, huzima ghafla.
Mkuu, tecno [emoji768]c9 huwa iko vzr yaan n imara??
 
Simu za Tecno ni laana, hamna kitu kibaya kama kumiliki simu ya Tecno, simu gani ukibofya mpak ijifikirie
 
Hamna tecno nzur ni unaskini tu kuna sumsang zimetoka now series za a juna a10 a20 kuendelea ziko poa sana na bei nafuu zinacamera kali na betri imara na laini 2 bei cheee kaziulize
 
Back
Top Bottom