Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,380
- 2,042
mapenzi ya siku hizi bila kugombana hayana stim,
pia ni ruhusa kushikana ila si kushikiana simu.
Hukufanya jambo jema kudivert namba yake kila mtu huhitaji privacy si lazima privacy iwe kwa ajili ya kucheat kuna mambo ya kifamilia zaidi.
Unadivert simu yake ili iweje?
Alikuwa anataka kujua wangap wanamgegeda uyo baby wake.
nilidivert baada ya kuona dalili za cheatinng na moja nilifaulu kuizima
absolutly rightmmmh uyo kakudanganya kabisaaaa!!!
Yangu sawaKama hajawa mkeo lazma kuna mambo ya kifamilia ambayo haya kuhusu. By the way angedivert yako ungefanya je
Nini ndugu yangu kuhangaika na malaya huyo! Piga chini tu, atakuuwa huyo.Habari wana ukumbi, naomba tupeane mawazo na ushauri juu ya hili, simu ya mpenzi nimeidivert na call recordings akashtuka sasa majuzi nimebamba na simu nyengine na line nyengine ambayo hutumika mimi nikiwa sipo, anasema ni ya mazingumzo ya siri kati yake na familia yake. Tupeane ushauri mimi limeniumiza kichwa