Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,133
Kasave namba ya mke wake pekee, hayo tayari ni mahusianoMods bhana, sasa huu uzi unakujaje kwenye hili jukwaa mbona wanawaza ngono tuu dah!!
Hapana mm lofer tuHV wee ndio thinki tank la wa ddm chamwino mbna unaujinga HV
Me nlikutana na Mwamba ana Smartphone kabisa na ana Contact mbili tu na ndio watu anawasiliana nao siku zoteHiki ni kitu cha kawaida kweli au jamaa kachanganyikiwa, nikimpigia simu kila siku anauliza wewe Nani? Hii hali nikaona ni dharau tena kubwa Sanaa Nikajaribu kumuuliza kwann hausevu namba yangu akasema hataki kuhifadhi namba yoyote Ile kama hasevu namba mbona anaishi maisha magumu sana maana Kuna mda anapata shida ya kuongea na wengine Sasa anafanyaje??