Simu ya mkononi imenivunjia uchumba

kamati

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
240
Reaction score
109
ndugu wana jf.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 nimejitokeza kwenu mnishaur mimi nimewahi kuwa mchumba binafsi nilimpenda na nikadhamilia kumuoa sasa tulidum kwa mda wa miezi minne cha ajabu hakuwah kunitafuta kwenye sim hata siku moja basi siku moja nikawa nikimpigia cim usiku tunaongea kidogo anadai amechoka basi kwa vile nampenda nikawa namheshim nampa mda apumzike basi ciku moja nikampigia cim saa mbili uciku nikakuta sim iko bizy kama dakika 20 hivi basi nilivyopiga tena akapokea but akaniambia nikate kwani kuna mtu wa muhim anaongea basi nikamuuliza nan akaniambia ni rafiki basi nikamwambia si tuongee kwanza akakataa basi nikachukia nikakata sim na tukaachana sasa no tukikutana amenichukia na hataki hata salam yangu akaanza kunilaum eti nisipobadika tabia cintoish na mwanamke je ndugu zangu mi ndo nina makosa au yeye lakin mimi nimechoka mara huwa anasema mara mi mzur nikimwambia mwanaume yeyote nikae kwake anakubali mi nikaona hafai na tukaachana
 
Achana na huyo kicheche,kwa uzoefu wangu kuna mtu mnakula pamoja.Simu busy usiku???!!!Halafu wewe unawekwa pending!!!??Mkuu kama hujui kusoma,basi tumia hata picha!!
 
National examinational council of JF(NECJF)

TEST. 1
choose the correct answer!
1. Huu uandishi wa cim, ciku, uciku, cintoishi e.t.c ni dalili za nini?

a) liberalism.
b)uchovu.
c)uzembe.
d) a.
e) d.
 

naomba nikushauri..at 24 yrs unasema ulikuwa na mchumba??...means una-girlfriend aliyekidhi vigezo vyako vya kuwa mkeo wa ndoa?....kama majibu ni ndiooo....dogo naomba ule starehe kwanza coz utakuwa unainyima nafsi yako tamu ya maisha kabla ya ndoa....naona kama kuana 6yrs za kula starehe na vitoto vya kike wewe unataka "kuingia ndoani-ndoana" mapema hivo...matokeo yake unakuwa mme wa watu..full vinyumba ndogo mpaka ma-beki 3 unawala hovyo kisa hujakata kiu ya ujana.

Mpige chini huyo kicheche anza kuwa playa hakikisha unakuwa na mademu 7 na kila m1 anaamini wewe ni mtu wake na wote unawachapa dudu-kojo mpaka wanaridhika...plus mimba za kusingiziwa na za kutoa mpaka madaktari wote wanakuwa washkaji zako...then unapata m1 unaweka ndani unatulia maisha yanaanza at 40...{thats what ma papa told me}
 

AGAIN...DOGO UMEANDIKA UONGOOOOO...SIMU YA MKONONI HAIVUNJI NDOA WALA UCHUMBA...WEWE NDIO ULIONA HAFAI NA MUKAACHANA (Refer your last sentence)
 
aah baci nimeelewa
 
Kiujumla nyinyi bado ni watoto na hamjui mnachotaka kwenye uhusiano.

Both of you...
 

Jipange katika kutafuta maisha bora, wanawake wapo tu.
 
lugha gani unatumia? kila saa BASI,BASI,
huwezi ata kujielezea,
 
kabla sijakushauri naomba kujua huko mkoa gani?
 
At age of 24 una fiancee!!??mbona kama umepiga lampad sana katika stage zako za ukuaji
 

That's how to tell boys to handle such situation love this yaaani big up.:thumbup:
 
Unaweza kukuta anayeongea hayo yupo nyumbani kwao anaishi na wazazi wake kila kitu anategemea kwa wazazi wake.
na Jumatatu anahitajika aende shule.
 

huyo mnadada ni mchawi au hujui kutongoza mkuu hapo fanya kama umefiwa na mwanao unalia siku ya kwanza ya pili na ya tatu unazoea easy tu midada ya kuoa ipo kibao..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…