Simu ya M Koba UGANDA

PetterIsuti

Senior Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
118
Reaction score
28
Habari wana jamvi, nina simu aina ya Samsung nilikuwa niliuziwa na mtu, kwa bahati mbaya hii simu kumbe ni zile za mkopo za M Koba Ya Uganda, nimekuwa natumia vzr lakn leo imejifunga na inaomba kulipiwa bahati mbaya mm sijui hizo namba za kulipia za Uganda, km kuna mtu anaweza kujua namna ya kuilipia au kunlock anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…