Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,418
Shopee ila Inataka ushikwe mkono na mtu a verify no ya simu ya Malaysia.Sorry chief, ni site gani hizo za Malaysia/Singapore?
Shukrani kaka, ngoja nikajione nikikwama ntakuja Pm ili tuone cha kufanya.Shopee ila Inataka ushikwe mkono na mtu a verify no ya simu ya Malaysia.
Alternative tumia site za mtaani (ni risk)
Mimi nilinunua yangu hapa
Unapata simu nyingi tu za SD 835 chini ya laki 2 na sd 845 chini ya laki 3.
Nitajaribu ila nikiona mapigo ya moyo yanaenda kasi sijui nitafanyaje.Shopee ila Inataka ushikwe mkono na mtu a verify no ya simu ya Malaysia.
Alternative tumia site za mtaani (ni risk)
Mimi nilinunua yangu hapa
Unapata simu nyingi tu za SD 835 chini ya laki 2 na sd 845 chini ya laki 3.
Pia utahitaji forwarding service kama shop and ship kukitoa Malaysia Kuja hapa.
Ndio ya Mtaani.Nitajaribu ila nikiona mapigo ya moyo yanaenda kasi sijui nitafanyaje.
Vipi hiyo site uliotumia ni ya mtaani au?
Sent from my cupboard using mug
Poa mkuu tutaona litakalowezekana.Ndio ya Mtaani.
Nitajaribu ila nikiona mapigo ya moyo yanaenda kasi sijui nitafanyaje.
Vipi hiyo site uliotumia ni ya mtaani au?
Sent from my cupboard using mug
Nakubali Mkuu.Shopee ila Inataka ushikwe mkono na mtu a verify no ya simu ya Malaysia.
Alternative tumia site za mtaani (ni risk)
Mimi nilinunua yangu hapa
Unapata simu nyingi tu za SD 835 chini ya laki 2 na sd 845 chini ya laki 3.
Pia utahitaji forwarding service kama shop and ship kukitoa Malaysia Kuja hapa.
Mkuu unaweza jazia nyama kidogo tafadhari njia ya kuchomoa mzigo huko, Make naona kuna simu huko hata ambazo Aliexpress, Gearbest & Alibaba hazipo!!Shopee ila Inataka ushikwe mkono na mtu a verify no ya simu ya Malaysia.
Alternative tumia site za mtaani (ni risk)
Mimi nilinunua yangu hapa
Unapata simu nyingi tu za SD 835 chini ya laki 2 na sd 845 chini ya laki 3.
Pia utahitaji forwarding service kama shop and ship kukitoa Malaysia Kuja hapa.
Shop and ship unaifahamu? Inakupa adresss ya Malaysia, Hivyo ukinunua kitu unaweka address waliokupa wao watapokea na kukuletea huku.Mkuu unaweza jazia nyama kidogo tafadhari njia ya kuchomoa mzigo huko, Make naona kuna simu huko hata ambazo Aliexpress, Gearbest & Alibaba hazipo!!
Na kama mzigo haukufika nusu kilo, shipping itakuwa free au?Shop and ship unaifahamu? Inakupa adresss ya Malaysia, Hivyo ukinunua kitu unaweka address waliokupa wao watapokea na kukuletea huku.
-Lifetime fee ni $10 registration
-Gharama ya usafirishaji around $15 kwa nusu kilo
-kodi majaliwa sometime unalipa sometime hulipi.
Sema ni worth it kwa baadhi ya vitu kama refurb za Japan sony NA Sharp.
Xz1 unapata hadi 140,000 hata ukieka Gharama za juu hapo inaweza isifike 200k.
hapana hakuna cha bure, gram moja mpaka 500 ndio hio fee, ikizidi nusu unachajiwa kama kilo.Na kama mzigo haukufika nusu kilo, shipping itakuwa free au?
Sent from my cupboard using mug
Shukrani sana kaka!Shop and ship unaifahamu? Inakupa adresss ya Malaysia, Hivyo ukinunua kitu unaweka address waliokupa wao watapokea na kukuletea huku.