SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 649
Aisee hapa inabidi nifanye comparison ya kutosha maana hiyo LG V20 ina edition mbalimbali.Kwanini usichukue LG G6. Ya 2017. Naona kma hii ni nzuri zaidi na inauzwa bei hyo hyo
Link: US $86.58 26% OFF|Schnelle Verschiffen Koreanische version Handy LG G6 G600 L/S/K 5.7
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Samahani mkuu nikusahihishe kidogo hapo kwenye spec zake ni snapdragon 820 na sio 850 labda ilikuwa typing error. Kifupi ni simu nzuri sana kama sifa zake zinavyoonekana.Katika pitapita zangu kusaka kasimu ka bei rahisi kule AliExpress kwa kampuni ya Samsung...
Snapdragon 850 imetoka 2018 na inatumika kwenye laptops tu sio simu. Hyo simu ina 820Aisee hapa inabidi nifanye comparison ya kutosha maana hiyo LG V20 ina edition mbalimbali.
Kule AliExpress wamesema ni Snapdragon 850 na kule Gsm Arena ni snapdragon 820 na hiyo LG G6 ni snapdragon 821.
kwa hiyo hapo ni kuCompare kwa umakini sana, nashukuru kwa ushauri.
Sent from my cupboard using mug
Kwa hio bei refurb ya s7 unapata kibongo bongo, pia zipo Sony, LG, na brand nyengine zenye SD 820 kwa chini ya laki 3. Not worth it kununua huko.Katika pitapita zangu kusaka kasimu ka bei rahisi kule AliExpress kwa kampuni ya Samsung,
Nikakutana na LG V20 refurbished yenye Ram 4gb na Rom 64gb, network 4G-LTE, CPU ya Qualcomm snapdragon 850.
Kwa bei ya sh. 204,084.10/= na shipping ya 12,198.67/=
Toleo lake ni la 2016.
Sasa sijui wajuzi mnasemaje kuhusu hii kitu. Nimeoagawishwa na storage yake.
Sent from my cupboard using mug
Ndiyo maana mkuu nilihamisha wazo langu kutoka Samsung kwenda LG,Samahani mkuu nikusahihishe kidogo hapo kwenye spec zake ni snapdragon 820 na sio 850 labda ilikuwa typing error. Kifupi ni simu nzuri sana kama sifa zake zinavyoonekana.
View attachment 1661890View attachment 1661891View attachment 1661893View attachment 1661894View attachment 1661895
Hivo hivo mkuu hata Samsung nayo ni hivyo tu. Isitoshe zote ni za mkorea kwa hiyi sioni shida sana kwa betri.itasumbuka sana battery
Hivo hivo mkuu hata Samsung nayo ni hivyo tu. Isitoshe zote ni za mkorea kwa hiyi sioni shida sana kwa betri.
Sent from my cupboard using mug
Lg life is good hii brand ni the best spec zake na features zake ni za kibabe sanaNdiyo maana mkuu nilihamisha wazo langu kutoka Samsung kwenda LG,
Yaani specs ziliniua kabisa.
Sent from my cupboard using mug
Ila ukiweza chukua v30 ni nzuri zaidi kuna niliona used ya korea inauzwa 600k yenyewe ni v30 plus ina 256gb internal ram 6gbKatika pitapita zangu kusaka kasimu ka bei rahisi kule AliExpress kwa kampuni ya Samsung,
Nikakutana na LG V20 refurbished yenye Ram 4gb na Rom 64gb, network 4G-LTE, CPU ya Qualcomm snapdragon 850.
Kwa bei ya sh. 204,084.10/= na shipping ya 12,198.67/=
Toleo lake ni la 2016.
Sasa sijui wajuzi mnasemaje kuhusu hii kitu. Nimeoagawishwa na storage yake.
Sent from my cupboard using mug
Tatizo mkuu ni kwa sababu niko mbali na Dar, ningenunua hukuhuku.Kwa hio bei refurb ya s7 unapata kibongo bongo, pia zipo Sony, LG, na brand nyengine zenye SD 820 kwa chini ya laki 3. Not worth it kununua huko.
Na kama unajali battery life sd 835 ni muhimu kwenye hizi flagship. Na kama upo tayari kujilipua Malaysia/Singapore unapata bei rahisi zaidi kuliko Aliexpress.
Wakorea wanakuwaga na mawe ya kiheshima sana aisee yaani si wababaishaji.Lg life is good hii brand ni the best spec zake na features zake ni za kibabe sana
Kabisa mkuu vitu vyao havina magumashiWakorea wanakuwaga na mawe ya kihedhina sana aisee yaani sivwababaishaji.
Sent from my cupboard using mug
Hiyo ngoja kwanza nisije nikalaza njaa familia.Ila ukiweza chukua v30 ni nzuri zaidi kuna niliona used ya korea inauzwa 600k yenyewe ni v30 plus ina 256gb internal ram 6gb
Sorry chief, ni site gani hizo za Malaysia/Singapore?Kwa hio bei refurb ya s7 unapata kibongo bongo, pia zipo Sony, LG, na brand nyengine zenye SD 820 kwa chini ya laki 3. Not worth it kununua huko.
Na kama unajali battery life sd 835 ni muhimu kwenye hizi flagship. Na kama upo tayari kujilipua Malaysia/Singapore unapata bei rahisi zaidi kuliko Aliexpress.
Hata mimi natamani nizijue hizo nivute kitu.Sorry chief, ni site gani hizo za Malaysia/Singapore?
Tuvute subra, Chief-Mkwawa ni mtu poa akiingia online atatujibu tu.Hata mimi natamani nizijue hizo nivute kitu.
Sent from my cupboard using mug