Simu ya Kwanza Duniani Yenye GB 1000

Simu ya Kwanza Duniani Yenye GB 1000

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
355
Reaction score
276
Smartisan R1 hilo ndio jina la simu iliyovunja rekodi mwaka huu 2018 kwa kuwa simu yenye ukubwa wa ndani mkubwa zaidi, simu hii inakuja na ukubwa wa ndani wa GB 1000 sawa na Terabyte 1.

 
Mkuu Tanzania Tech naomba unielekeze namna ya kuweka (ku-upload) video humu Jamii Forums maana mimi kila nikijaribu nashindwa, sijui nakosea wapi.
 
Smartisan R1 hilo ndio jina la simu iliyovunja rekodi mwaka huu 2018 kwa kuwa simu yenye ukubwa wa ndani mkubwa zaidi, simu hii inakuja na ukubwa wa ndani wa GB 1000 sawa na Terabyte 1.



Tamaa tu, unaweka nini humo cha size hiyo cha kutembea nayo? je ina processing speed ya kuweza ku handle that?
 
Back
Top Bottom