samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 354
Naomba msaada wa kuunganisha simu hi na internet ya airtel(zain)
Dah hizi simu ninaweza kupata wapi used?
kaka ni pm nikutafutie used,tigo ni fixed line,huwezi kubadili cheap nyingineDah hizi simu ninaweza kupata wapi used?
sema bei hata mm nahitaji...kaka ni pm nikutafutie used,tigo ni fixed line,huwezi kubadili cheap nyingine
ni lakimoja na themanini mkuusema bei hata mm nahitaji...
ni lakimoja na themanini mkuu
Kama una mtu Nairobi mwagizie hata madereva wa mabasi zinauzwa kwenye maduka ya Safaricom hapo zamani ilikuwa Ksh 8999 sawa na Tsh 161,980 sasa zimeshuka ni Ksh 3999 kama Tsh 72,000 hivi na unatumia mtandao wowote ,hivi visimu ni vizuri sana ni kama una BB lakini tatizo ni kwenye betri na camera
Ni kweli Uncle kama una jamaa hapo Nrb mwambie akutazamie kwenye maduka ya Safaricom ingawa ni muda kidogo umepita ndio walipunguza bei hadi kufika hicho kiasi,unataka uchangamukie fursa au vipiMkuu unasema kweli?
Naomba msaada wa kuunganisha simu hi na internet ya airtel(zain)
Ni kweli Uncle. kama una jamaa hapo Nrb mwambie akutazamie kwenye maduka ya Safaricom ingawa ni muda kidogo umepita ndio walipunguza bei hadi kufika hicho kiasi,unataka uchangamukie fursa au vipi