Morrison Brown
Member
- Sep 23, 2016
- 40
- 5
Sijakuelewa mkuuNimefanikiwa kuwa Joseverest wa hii thread
Kama ipo hata kama soi mpya ilimradhi iwe nzima tuBrand mpya sokoni? susmsung
Lugha gongana mkuu.Kama ipo hata kama soi mpya ilimradhi iwe nzima tu
Kama ipo hata kama soi mpya ilimradhi iwe nzima tu
Rubii jamani RubiiBrand mpya sokoni? susmsung
Sitaki ya dukani.Panda gari za kariakoo. Fika maduka ya simu zipo mpaka elfu70 mpya a
Kipi sio sahihi?Lugha gongana mkuu.
Hatari sana.
Ongeza hela ifike 130,000 nikupatie tecno W4 ina miezi miwili toka niichukue dukaniHabari wadau. Nahitaji simu smart yoyote nzuri ofa yangu 100000 tu.
Atakaye leta simu nzuri zaidi atapata mzigo huo. Please usichelewe.
Nichek 0674119970Ongeza hela ifike 130,000 nikupatie tecno W4 ina miezi miwili toka niichukue dukani
Nichek 0674119970Njoo uchukue Huawei 330
Nmeitumia 3years kitu bado
Kipyaaa wala haiwah kumuona fund
Nitakucheck kesho mapemaNichek 0674119970
Labda tecno ila io susmsung ni mpaka uiagizie Jupiter mkuuTecno au susmsung. Niko mbagala