Shushani Ngomeni
Member
- Nov 24, 2014
- 45
- 18
Heshima zenu wadau..
Nimeibiwa simu yangu wazee, sikutunza Imei zake ili niweze kupata msaada wa kutrack. je kuna anajua ujanja mwingine ambao naweza kupata hiyo simu? msaada tafadhali!! Ni tecno N2 ina few month since i bought. Pia kama kuna mtu ana used ktk gud condition aniuzie. ikiwa sumsAng itakuwa gud.
Hiyo 150,000 sio ndio bei ya dukani?Ipo tecno w3 mkuu ktk good condition 4G ndani yake inataka 150k tu
Hiyo 150,000 sio ndio bei ya dukani?
Dukani atapata tecno W4 mpya kabisa ambayo ni advanced zaidi kushinda hiyo w3 yako na warranty ya miezi 12 kwa hiyo bei.Ipo tecno w3 mkuu ktk good condition 4G ndani yake inataka 150k tu
Naipataje call me 0629065434Pia nauza hy tecno y 3 kwa sh 50000 tu anaetaka anipm sure ni nzma ila now nnanjaa.
Ndo bei yake hyoKanunue
Mkuu nina note 1sumsung 180000 nakuachia ni nzima kabisaHeshima zenu wadau..