Simu original vs fake

Lutala

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
848
Reaction score
104
Wakuuu za asub. poleni na mishe mishe. Naomba kujuzwa nitajuaje kama simu ni original au fake? Nipeni maujuzi kabla sijaibiwa. Asanteni
 
Wakuuu za asub. poleni na mishe mishe. Naomba kujuzwa nitajuaje kama simu ni original au fake? Nipeni maujuzi kabla sijaibiwa. Asanteni
Jana ilikuwa ijumaa!! Ndio maana
 
bofya *#0000# baada ya hapo model ya simu inaonekana, isipoonekana manake ni mchina uyo
 
Wee mpaka umekuwa member jf utakuwa unajua tu! Compare bei na apps zilizomo quality ya picha, internet, jina la simu au google hiyo model utagundua tu na sometimez honest seller wanakwambia tu
 
Wakuuu za asub. poleni na mishe mishe. Naomba kujuzwa nitajuaje kama simu ni original au fake? Nipeni maujuzi kabla sijaibiwa. Asanteni

*#06# itaoneka serial number yenye digits 15 zikiwa pungufu ni fake.
 
Asanteni kwa majibu yenu....nimeokoka kuuziwa kitu fake
 
Asante,*#0000# inachagua simu lakini *#06# inaleta hizo numba. Mwenye ujanja zaid atujuze zaid.
 
Wakuuu za asub. poleni na mishe mishe. Naomba kujuzwa nitajuaje kama simu ni original au fake? Nipeni maujuzi kabla sijaibiwa. Asanteni

Kwa uhakika zaidi tafuta simu nyingine yenye internet uende nayo kabla ya kufanya manunuzi bonyeza *#06# utapata imei yako fungua kwenye hiyo simu nyingine http://imei.info ikifunguka utaona sehemu ya kuandika hiyo imei na kusubmit, itakuonesha ni simu aina gani! Kama ni ya kichina huwa inaleta error au itakuonesha simu model nyingine.
 
International Mobile Equipment Identity (IMEI) zipo ambazo ni counterfeited na ambazo ni genuine ukitaka kujua tofauti ya hizi mbili niibox :typing:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…