Simu nzuri kununua iphone 5s vs blackberry q 10

kaka hamna aliokataa bb ya zamani ni nzuri kibiashara. na hata hapo juu nimekukatalia kuwa bb 10 si nzuri kibiashara ila nikakwambia bb ya zamani ni nzuri.

kwenye link uliyotoa wamesema wamerudi kwenye bb 9930 ambayo ni bb za zamani sasa huoni kama ni fedheha kwa bb10? sababu bb10 inaingilika kirahisi ndio maana pentagon wakaamua kutonunua z10 na q10 badala yake wakanunua bb ya zamani.

blackberry-bold-touch-9900.jpg

BES10 will takeover soon, they are just going back to what they know works.
 
BES10 will takeover soon, they are just going back to what they know works.

yani nature ya bb10 haitakuja kuwa secure hata wakija madeveloper dunia nzima wakakaa kueka security. ni kama android vile. ile ni njia unachagua toka unapoanza kusuka operating system kuwa either unachukua security na limitation au unaeka uhuru lakini unapoteza ulinzi.
 
we ndo mjinga haujajishtukia haujui JF iko na watu wa ughaibuni siku hizi ali mradi wawe na basics za kiswahili
Mbona wakenya wamekuja wengi
Kuna mtu mwingine alikuwa anataka DSTV ya bure kwa kutumia AZSKY kaingia kwenye nyuzi za watu kaanza kuomba waongee kingereza
Badirisha MTAZAMO:smile-big:

alietaka kujua kaulza kwa kiswahl,alaf ajibiwe kingereza.!kisha uone sawa tu....
 
Kwanza iphone 4s haijaandikwa kwa nyuma hlo jina lake
Pili inanut mbili china yaan sehem ya kuwekea charger
Tatu screen yake inasense haraka zaid
Nne ifungue uchukue imei zake afu uziweke kwenye simu nyingne zgoogle itakuletea picha na specification za simu huska we utafanya kucompare tuuu
Hope nmeeleweka mkuuu
iphone fake ukiiangalia tu utaijua screen yake inachenga chenga, cheki sehemu ya kutuma message, na malizia kwenye kamera..mchina na ujanja wake wote kwenye iphone kachemsha kuifanya ione kane kama original...iphone original ukiiona tu unajua jinsi ilivyo raha...na pia hua hazina memory card slot..hizo iphone..over
 
Back
Top Bottom