Pole kwa tatizo kama hilo, kwa cc mafundi wa software tuna uwezo wa kuchunguza na kujua ttzo limetokana na hardware au ni software na km basi ni software linatengenezwa na km ni hardware basi software hana nafasi, hapo kuna mawili CIRCUIT imekufa lkn ina uwezo wa kuandika neno TECNO ambalo halioneshi inawaka wala ile logo ya kuleta maandishi ya TECNO blue blue, hapo jua ni saketi kbs unastahili kubadilisha na kuweka nyingine either MPYA AU USED kwa mpya ingia CUSTOMERS SERVICE YA TECNO iliyokaribu nawe, ila kabla ya yote jaribu kwa mafundi wa SOFTWARE maana HARDWARE ht akitengeneza atakwambia ni CIRCUIT hivyo jipange tafuta Used or Mpya, na km ni kuflash yakupasa uwe na requirements zifuatazo :-
1😛C laptop or dekstop
2.USB cable
3:SP FLASH TOOLS
4:ROOM YA TECNO H5 YAANI FIRMWARE YAKE YA SIMU
MPK HAPO UMEPATA MWANGA INGIA GOOGLE UPATE MAELEZO ZAIDI