ndio maana nimeuliza mkuu, maana naona hoja ya "mwili moja" inazidi kuwa na mashiko ya kasi ya ajabu hadi kwenye "privacy issues". Kuna kitu au vitu tunavichanganya sana pasipo kujua hasa katika mambo ya utashi binafsi,No matter u r a wife & husband. N'way labda pengine mi sijui...! Ila hii mambo ya MWILI MOJA NDIO ILIYO PELEKEA MPAKA ADAMU WA EDEN KUINGIA MATATIZONI, NA SAMSON KUKAMATWA NA WAFIRIST KUPITIA DELILAH.Hili linawezekana mkuu?
mimi anashika yangu.....(na password anaijua).....ila ya kwake siwezi kushika......sijui hata ni kwa nini.......?
unapekua ili uone nini? kuna kitu ulificha huko au mambo ya ufukunyuku tu!!
pole sana,acha uma...................ya,kaa utulie kama una kidumu/una kibuzi kiache,mbona k..........ma/m......ro unamuachia anaiona kila siku?mbona huifichi?jiulize mwenyewe kama huna wanaume/mwanamke mwingine kipi cha kuficha kati ya k........ma/m............ro?hivi kupekua simu ya mpeni wako ni ndio kuonyesha kua unampenda sana au ni ushamba
tatizo nin kwani....?
Kusajili line kuna uhusiano gani na ndoa? Au unataka mpaka passport tutumie moja? Nadhani wewe haujaelewa mantiki nzima ya wanandoa kutokuwa na vitu vya kuficha.
Mkuu kama hakuna tatizo sasa kwa nini uanze kupekenyua simu ya mwenzi wako...unless humuamini
Mimi mke wangu simu yangu anashika, anasoma conversations zote, anaangalia call logs, kiufupi anajua kabisa nimefanya nini. Hii sio wivu ila kumbuka NDOA ni kitu kimoja. Sina tatizo na yeye kuona chochote na kuniuliza. Sina siri kwake. Mke wangu na mimi ni kitu kimoja.
Mimi simu yake nashika, nasoma conversations zake na marafiki zake wa kike na kiume, ndugu zake pia naangalia call logs, naangalia alibrowse nini, emails etc. Hii haimaanishi simuamini. Ila ni kufanya tuwe wote kwenye mstari mmoja. Hatufichani kitu.
AMINI NAKWAMBIA KAMA UNA MAMBO MACHAFU MACHAFU UTAKUWA MUOGA MKE/MUME WAKO AKISHIKA SIMU.
Ndoa ni mwili mmoja!
Hivi kupekua simu ya mpeni wako ni ndio kuonyesha kua unampenda sana au ni ushamba