Mkuu mimi sio mtaalamu wa hii maneno lakini in simple logic hivi vitu vipo tofauti.
Simu inauwezo wa kupokea na kurusha mawimbi wakati decorder inapokea tu.
Swala la mnara ni kuwa mnara kama mnara sio issue, issue ni kuwa mnara ukisimamishwa je juu yake umefungwa kitu gani kufanya kitu gani.
Tofauti na radio hizi huduma kama simu, decorder nk ili imfikie mteja kunakuwa na njia yake kwa kila mteja, mfano kwa simu ni sim card ndio njia kati ya mteja na provider so kama hujalipa inafungwa njia yako tu ya mwingine inakuwa wazi.