Junior Hamis
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 354
- 294
simu hizi pia zina specifications kubwa na gharama ya midrange
nimesema muonekano na specifications ww unaongelea nn...Cjaona simu ya maana apo. Mtoa mada bado hujajua Smartphones.
Sasa apo kuna simu gani yenye specificstion au muonekano wa maananimesema muonekano na specifications ww unaongelea nn...
kaka najua unashangaa kutokuziona Samsung au iPhone nimeongelea ambazo zimekuwa released june kama cjasema in general...Sasa apo kuna simu gani yenye specificstion au muonekano wa maana
Point yangu ni kuwa hakuna simu ya kutisha hapo hata kama zimekuwa released lini.kaka najua unashangaa kutokuziona Samsung au iPhone nimeongelea ambazo zimekuwa released june kama cjasema in general...
kwa mfano one plus 5 .... os 7.1.1 , screen size 5.5,security fingerprint, technology optic ameloid, rear camera 16mp,front camera 16mp,chipset qualcom snapdragon 835,gpu 8 core, ram 6gb,rom 64gb and 128gb,capacity battery 3300mAh....... au what do u mean ukisema specificationsPoint yangu ni kuwa hakuna simu ya kutisha hapo hata kama zimekuwa released lini.
it seems lyl hujui kuhusu specifications za cm kulingana na price jua hizi ni midrange pricePoint yangu ni kuwa hakuna simu ya kutisha hapo hata kama zimekuwa released lini.
Ndyo maana nkasema wewe mgen kwenye simu. Kuna simu zimekuwa released miezi mitatu nyuma zina spec kuzidi hizi. Wewe unaambiwa hakuna kipya hapa unaendelea kubishana tu. Hata hujielewi. Alfu nsijekuta nabishana na mtoto wa shule apa.. shitit seems lyl hujui kuhusu specifications za cm kulingana na price jua hizi ni midrange price
Ndyo maana nkasema wewe mgen kwenye simu. Kuna simu zimekuwa released miezi mitatu nyuma zina spec kuzidi hizi. Wewe unaambiwa hakuna kipya hapa unaendelea kubishana tu. Hata hujielewi. Alfu nsijekuta nabishana na mtoto wa shule apa.. shit
na upitie kila simu cyo tu kuangalia brand ulitegemea nisema Samsung na iPhone mwez huu wame release simu gani zinazofaa hapa...Ndyo maana nkasema wewe mgen kwenye simu. Kuna simu zimekuwa released miezi mitatu nyuma zina spec kuzidi hizi. Wewe unaambiwa hakuna kipya hapa unaendelea kubishana tu. Hata hujielewi. Alfu nsijekuta nabishana na mtoto wa shule apa.. shit
Cwezi bishana na limbukweni wa simu anayeishia kuziona kwenye google tu.na upitie kila simu cyo tu kuangalia brand ulitegemea nisema Samsung na iPhone mwez huu wame release simu gani zinazofaa hapa...
'' bora kujifanya hujui kumbe unajua kuliko kujifanya unajua kumbe hujui''Cwezi bishana na limbukweni wa simu anayeishia kuziona kwenye google tu.
hapana mkuu nilikuwa naongelea ambazo zimetoka mwezi wa 6 ambazo zina bei ya kati lakini nzuriVp Mkuu, umeniangusha....!!
Sijaona Ugonjwa wangu hapo..!
Samsung....ama sio ya maana..!?
Labda sijui Simu..!
Mkuu naomba usinitag tag na hya naujinga yako. Kma unaposta we si upost tu way unitag mimi.'' bora kujifanya hujui kumbe unajua kuliko kujifanya unajua kumbe hujui''![]()
![]()
![]()
![]()
samsung yako hii hapa inashika no 1 kwenye chartVp Mkuu, umeniangusha....!!
Sijaona Ugonjwa wangu hapo..!
Samsung....ama sio ya maana..!?
Labda sijui Simu..!