๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ก๐—ผ๐˜๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐Ÿฏ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฎ ๐—ฅ๐—ฎ๐˜€๐—บ๐—ถ

๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ก๐—ผ๐˜๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐Ÿฏ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฎ ๐—ฅ๐—ฎ๐˜€๐—บ๐—ถ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
1_20250701_211123_0000.png

Kupitia ripoti Mbalimbali simu mpya ya Nothing phone 3 inatarajiwa kuachiwa na kuanza kusambazwa ikiwa na feature kadhaa;

โšก Kioo 6.7inch LTPO OLED ikiwa na resolution ya 1.5K
โœ”๏ธ refresh rate ya 120Hz iko very fast kwenye touch and smoothly
๐Ÿ“ธ Kamera nyuma ziko triple ikiwa na 50Mp periscope telephoto sensor + 3x optical zoom unamvuta mpaka siafu (anti ๐Ÿœ).
๐Ÿ“ท Main kamera inakuja na 50Mp + 50mp ultra wide angle lens

3_20250701_211123_0002.png

๐Ÿ—ก๏ธ Processor yake ni Snapdragon 8s Gen 4 chipset.
๐Ÿ”‹ Battery ni 5,150mah + 100W fast charging
๐Ÿ‘‹ Storages ni 256GB + Ram 12GB
๐ŸŽ Android version 15

Chakuvutia zaidi:
โœ… Betri lake liko poa imara bila shaka
โœ… Muundo wake , iconic na mfumo wa notification ni wa kipekee halafu mzuri balaa.
โœ… Software yake unapata update kwa miaka 5 bila shida pamoja na security update ya Miaka 7 kwaiyo mpaka 2032.

4_20250701_211123_0003.png

โœ… Kamera na picha zake zinatoa Bomba kama wewe mpenzi wa kamera unaweza nunua.

๐Ÿ’ฐ Gharama yake ni $799 Sawa na Tzsh 2.85milioni.

Inatarajia kuachiwa kuanzia July 4 na kusambazwa ulimwenguni kote weka oda yako Sasaโœ๏ธ.
 
Nothing phone niliona Instagram zinauzwa nikajua ndio zile simu za kikuu na ali express. Bei ilikuwa chini ya 200K sikumbuki toleo lake
 
Kuna simu inaitwa SoWHAT
Huyu kajibu Nothing.
 
Simu zao nzuri sana, ubunifu mwingi, kwangu display ya 6.7 inch ni kubwa sana, wangeteneza moja ya 6.1.
 
Simu zao nzuri sana, ubunifu mwingi, kwangu display ya 6.7 inch ni kubwa sana, wangeteneza moja ya 6.1.
NAtumia display ya 6.5 naiona ndogo, sijui Mazoea maana nilitoka display ya 6.7 mpaka nawaza kubadili simu nirudi kwenye 6.7 na zaidi, kumbe wengine mnataka ndogo zaidi!
 
NAtumia display ya 6.5 naiona ndogo, sijui Mazoea maana nilitoka display ya 6.7 mpaka nawaza kubadili simu nirudi kwenye 6.7 na zaidi, kumbe wengine mnataka ndogo zaidi!
Preference zinatofautiana Mkuu, nimekuwa napenda simu zenye display ndogo kwa mda, 5.8 to 6.1 inch, ikizidi ni 6.3 zaidi ya hapo naona kama natumia tablet ndogo.
 
Ni za kichina au ndio zile za eloni muks ?
Ni za kampuni ya Uingereza inaitwa British consumer electronics company, mwanzilishi wake ndio mchina anaitwa Carl Pei, alikuwa mwanzilishi mwenza wa OnePlus.
 
Kuna hii OnePlus 13T, nzuri sana.
oneplus-13t-5.jpg
 
Back
Top Bottom