Simu Mpya vs Simu Used

Kuna aina 3 ya electronic's equipment
1.mpya...hii haijatumika kabisa imetoka kiwandani nakwenda kwa mtumiaji..best option hapa.
2.Refurbished. ..hapa watu wameboresha from used materials nakuipa ubora ambao haulingani na used or mpya. ..mara nyingi wanatumia mashine kuangalia mapungufu nakuiboresha zaidi..
3.Full used. ..hapa mfano mzuri nikua umenunua cm kwa mtu alieitumia like mwaka na nusu nakuendelea. ..
NB
Km huna hela nzuri bora kununua refurbished kuliko used ilanibora zaidi kununua kitu kipya
 
Sitasahau siku niliyo nunua galaxy S10+ used dukani kwa 700k na warranty yake ya miezi sita matatizo iliyo kua nayo yalinifanya niirudishe siku hiyohiyo mahali nilipo nunulia simu used ubahatishe nyingi vimeo ndio maana zikauzwa tena
Nahis ni kama zile zisumbue kule then wakirudisha wakilipwa ama kubadilishiwa ndo ziletwe huku. Maybe, correct me if I'm wrong.
 
Of the same price fool,,

Laki mbili na nusu simu mpya unapata infinix ,itel sana sana

Ila Nina chimbo langu hio hela nakuja na snapdragon moja matata...same as new
Una uhakika kuwa hzo snapdragon unazouziwa sio za wizi/uporaji?

Kama hazijaibwa, inakuwaje ziuzwe bei za mtk? Znatoka wapi?
 
Simu used ni sawa na kijana wa miaka 25 kuoa mjane wa watoto watano
 
Gari mpya kwa gari used unachagua nn? Mwanamke mpya kwa mashangazi unachagua nn?
Mleta mada alikua na maana kua IST mpya kilometa 0 inauzwa millioñ 50,kwa hela hiyo hiyo unaweza kununua discovery 3 used,,ushamuelewa??
 
Una uhakika kuwa hzo snapdragon unazouziwa sio za wizi/uporaji?

Kama hazijaibwa, inakuwaje ziuzwe bei za mtk? Znatoka wapi?
Kwani Uzi unasemaje ,?

Si simu mpya vs used

Hizo ni used
 
Sitasahau siku niliyo nunua galaxy S10+ used dukani kwa 700k na warranty yake ya miezi sita matatizo iliyo kua nayo yalinifanya niirudishe siku hiyohiyo mahali nilipo nunulia simu used ubahatishe nyingi vimeo ndio maana zikauzwa tena
Ni risky sana kununua simu used
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…