Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,702
Tecno L5.
Bado mpya ina kila kitu chake original -earphones, charger, cable ya kuchajia simu nyingine(battery yake ina nguvu sana) pamoja na risiti.
ram 1gb bei ni 140,000 tu. WAHI SASA
Tuwahi wapi sasa Mkuu?
Nipo darUnapatikana wapi?